geoffrey mukoto itengezeni njia ya bwana şarkı sözleri
Itengezeni njia ya Bwana, yanyosheni mapito yake

Bwana Yesu anatujia, wokovu unatukaribia

Yeye ni nuru wa ulimwengu, atuanza kwa mwanga wake
Tukipokea mwokozi Yesu, twapokea mwanga wa milele
Tukipokea mwokozi Yesu, twapokea mwanga wa milele
Itengezeni njia ya Bwana, yanyosheni mapito yake
Itengezeni njia ya Bwana, yanyosheni mapito yake
Bwana Yesu anatujia, wokovu unatukaribia
Bwana Yesu anatujia, wokovu unatukaribia
Yeye ni pendo toka kwa Baba, hutumimina na upendo wake
Tukipokea mwokozi Yesu, twapokea pendo la Baba
Tukipokea mwokozi Yesu, twapokea pendo la Baba
Itengezeni njia ya Bwana, yanyosheni mapito yake
Itengezeni njia ya Bwana, yanyosheni mapito yake
Bwana Yesu anatujia, wokovu unatukaribia
Bwana Yesu anatujia, wokovu unatukaribia
Yeye furaha ya Ulimwengu, hutupatia furaha yake
Tukipokea mwokozi Yesu, twashikiri furaha ya mbingu
Tukipokea mwokozi Yesu, twashikiri furaha ya mbingu
Itengezeni njia ya Bwana, yanyosheni mapito yake
Itengezeni njia ya Bwana, yanyosheni mapito yake
Bwana Yesu anatujia, wokovu unatukaribia
Bwana Yesu anatujia, wokovu unatukaribia
Yeye ni mwanzo tena ni mwisho, yeye ni njia ya ukweli
Tukipokea mwokozi Yesu, mwapokea uzima hakika