geofrey maunde natembea şarkı sözleri

Uh uh uh ah nanahan Uh uh uhhhhhhh Ananannaah Uhu uhhhuhhh Maji yapo shingoni Bora ya Musa alishika fimbo Sina kitu mkononi Nahitaji huruma Polepole polepole Ndio wangu mwendo polepole Kuna giza kubwa mbele Baba I don't know Wengine wasafiri mbali wapewe dawa Ila mimi naamini kwako niko salamaa Tena machozi yamekua jadi Kulia kulia sina pakwenda Nikapiga hodi nikafunguliwa Sawa Natembea Natembea Ila nitafika siko Mwenyewe Siko Mwenyewe Natembea Natembea ila nitafika siko mwenyewe Nipo na wewe Na wewe Natembea Natembea ila nitafika siko mwenyewe Mwenyewe nipo na wewe Taaa lalalaaaah Taaa lalalaaaah Umesema mwenye haki wako Ataishi kwa imani Kwa imani iiiiiiiiiii Mimi ni mwenye haki wako Siwazi ya kesho Maana ya kesho yatajisumbukia ah ahah Maana ni wewe unaenifanya Niwe imara kama mlima sayuni Nikikutumainia Maana tumaini langu lipo mikononi mwako weeh Tena wewe niuleeee ule mwamba Mwamba wa maji ya uzima Natembea Natembea ila nitafikaaaaa sipo mwenyewe Sipo mwenyewe Wewe ni maji ya uzima sitaona kiu tena Sipo mwenyewe Nipo na wewe majiiiiii Na wewe Natembea Natembea Ila nitafikaaa sipo mwenyewe Nipo na wewe Eh yeah Uh uh uh Anhnanaanah Uh uhuuuu Uh uh uh
Sanatçı: Geofrey Maunde
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:42
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Geofrey Maunde hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı