h-boys classic i don't believe in love şarkı sözleri

Broke H boys classic Nilimkabidhi moyo wangu Yeye yeyeh Nikijuwa nimemaliza safari Kwake yeyeh Na kila kitu nakifanya kwake Ili tuendeleye Ila mwenzangu anakuja moto Nimweleweje Furaha ya moyo nikuwa na yule Unaye mpenda Aahya yayaaah Mapenzi nisawa na kiporo Liki chacha linanuka aahh Aahya yayaaah Tambua kwenye penzi hakuna tiba Kupendwa na kuachwa tu Nimara moja Shida ni pale unapo pendwa Ukipenda na unapendwa unajuwa kuna kuachwa Aaah haa haaah I don't believe in love Iyeeh I don't believe in love Aaah haa haaah I don't believe in love Iyeeh I don't believe in love Aaah haa haaah Umenitema umenitupa Napokwenda sipajuwi Duh Ah Leo sikuoni Machozi usoni Natamba tamba kama nyoka alie pangoni Weh Na siwezi amini kama leo umeni tupa Why Mapenzi gani niliokuonesha mpaka useme bye Siwezi kupinga Mimi naacha ujinga Najuwa MUNGU ndo alipanga mpaka ukanitema Kirikou umenitema Kwenye ndoto sikuoni tena Nilikubali kwa haya yote yalionitokea Umenitema mama Ila yote sawa Na nitampata anaye nipenda akipenda mola Asante umenifanya niumiye moyoni nidate Nikimbilie wapi malikiya Dogo P Aaah haa haaah I don't believe in love Iyeeh I don't believe in love Aaah haa haaah I don't believe in love Iyeeh I don't believe in love Aaah haa haaah Eh Nilitaka tuishi sote Cause ulitaka tuwe wote Ulikuja na ukapita bali sikutaka upite Uli delete picha zangu Ukafuta namba yangu Uliniacha peke yangu Niliumia sana wangu Akika sikudhani kama unaweza kunitenga Nimengi tulipanga Navibanda tukajenga Bora unge niambia mapema Singe kosa chakusema Ulicho taka tu moyo ubaki unauma Ulisema kuniacha never Tutapendana forever Na tutakuwa mfano wa Adamu na Eva Mapenzi siamini kwa yalio nitokeya Kitendo alicho kifanya sitaweza potezea Hakika nasema Sitaweza potezea Ye yoh Eh I don't believe in love Iyeeh I don't believe in love Aaah haa haaah I don't believe in love Iyeeh I don't believe in love Aaah haa haaah EzProd sound
Sanatçı: H-BOYS CLASSIC
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:34
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
H-BOYS CLASSIC hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı