h-boys classic sarah şarkı sözleri

Broke H-Boys Classic No no no ooh ooh! Mapenzi yana raha yake Yake yake Acheni nijimwage Jimwage jimwage Wasio nipenda wajipange Jipange jipange Aaaaah Eeh eeh! Napatwa na woga ndani ya tumbo langu, mama! Aaaah Natetemeka pale unaponigusa usoni mama! Sio kisa pesa yakakupa upovu ukajichanganya Nasema tete tetemeka (Katra money) Oh mama tete tetemeka (Taxmbwex) Nasema tete tetemeka (Mwavita boss lady) Oh mama tete tetemeka ah Sarah oh! Sarah oh! Sarah mi nakupenda Na kamwe sitakutenda Sarah mi nakupenda Na kamwe sitakutenda Nasema tete tetemeka Oh mama tete tetemeka Hahaha Wapi Black Boy eh! Wacha nijidai kuwa na wewe Mapenzi mwendo kasi acha nifurahi mama Nakupenda Sarah nakupenda eh! Kiukweli siwezi kukutenga kama peponi sote tutakwenda Ili mradi usije ukanitenga Umenibamba mutoto ya mama Nakupenda kwanza twafanana Ntakupeleka kwa baba na mama Maombi yangu tuzidi milele Tukikose twakula tembele Natukipata twakula muchele Na wenye wivu wakafie mbele Sio kisa pesa yakakupa upovu ukajichanganya Nasema tete tetemeka Oh mama tete tetemeka Nasema tete tetemeka Oh mama tete tetemeka ah Sarah oh! Sarah oh! Sarah mi nakupenda (Husmesco the rish man) Na kamwe sitakutenda Mbùcèle Ngenge Sarah mi nakupenda Ire classsic boy Na kamwe sitakutenda Dogo P tena Sarah mi nakupenda King Davido Na kamwe sitakutenda Sarah mi nakupenda Na kamwe sitakutenda
Sanatçı: H-BOYS CLASSIC
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:45
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
H-BOYS CLASSIC hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı