h worship nikuheshimishe şarkı sözleri

Nina tamani nikupendeze Yesu yesu Nina tamani nikuheshimishe weh Yesu yesu Nina tamani nikupendeze Yesu yesu Nina tamani nikuheshimishe weh Yesu yesu Matendo yangu mavazi yangu Maneno yangu yote yakuheshimishe Fikira zangu njia zangu Na utu wangu wote ukuheshimishe Ninatamani ujulikane weh Yesu yesu Ninatamani nikuheshimishe weh Yesu yesu Oh ninatamani ujulikane weh Yesu yesu Ninatamani nikuheshimishe weh Yesu yesu Matendo yangu mavazi yangu Maneno yangu yote yakuheshimishe Fikira zangu njia zangu Na utu wangu wote ukuheshimishe Matendo yangu mavazi yangu Maneno yangu yote yakuheshimishe Fikira zangu njia zangu Na utu wangu wote ukuheshimishe Pokea sifa sujudiwaa Mfalme mwema wewe uheshimishwe Jehova shammah jehova nissi Jehova jireh mimi nikuheshimishe Aaah ahhh Aaah amen amen Aaah aaah Aaah amen amen Amen amen amen ameeen Amen amen mimi nikuheshimishe Amen amen amen ameeen Amen amen mimi nikuheshimishe Adonai yahweh Jehova rapha mimi nikuheshimishe Elyon emmanueli munguwangu mimi nikuheshimishe Aaah aaaah Aaah amen amen Aaah aaaah Aaah amen amen Amen ameeen amen ameni Amen amen mimi nikuheshimishe
Sanatçı: H WORSHIP
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 7:54
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
H WORSHIP hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı