h2 frazemi story ya mtoi şarkı sözleri

Hii ni story joh ya mtoi akiwa 13 mzae wake Ali left Zii hakugenya Aliwatoka akiwa na mathao wakiwa in debt Hii ni story joh ya mtoi sidai kumtaja Ju Anaeza ni handa Hii story joh ya mtoi kutoka Buru So skizeni set Kijana aligrow up vi fiti Last born ma shida hazikua nyingi Until Dunia ikaamua kum tichi Trust me Dunia si mode mfiti Mzae alijitoa Na matha kusota Kudoz Kwa floor hadi huezi Ota Machozi on the low kwani nili kosa Ma shida zikikam zu Kam na sosa Walami walisema when it rains it pours Confidence yangu ilipungua Juu cladi zangu zilikua zinaunguza Daily ni sembe tuna skuma na skuma Wow Ma arif Hawaezi releate Daily Wana ku enjoy Apo Kwa base Ni crazy Naskianga life ni test Ni different Kwa kila msee Ku copy ndo reason si hufail So stay on your lane ndo kitu nili gain The rain washes the pain away Kwa brain memories of the days So acha niwachapie hii story vi fiti Uyu boy alichoka na hii life si nini Akakumbuka anapendanga mziki Rap to be specific 15 Kijana akaanza kuroga Daily Mistari alikua anachora Dreams are valid kaa umeiona Ma Arif wakadai bado anachoma Kijana akaendelea bado ku skuma Follow your passion na utavuma Kidogo reaction ikaanza kukuja Kijana Akajua rap itamtuma Hii ni story joh ya mtoi vile Ali dream mpaka ika kam Hii ni story joh ya mtoi kutoka Buru na struggles za rap Hii ni story joh ya alikua na issues akarise above Hii ni story joh ya mtoi alingolewa mabawa na bado aka paa Hii ni story joh ya mtoi Hii ni story joh ya mtoi Hii ni story joh ya mtoi Hii ni story joh ya mtoi 9 years later Uyu boy wetu ashakua star Struggles zilimuacha na scars Bado anaendelea ku paa 9 years later Uyu boy wetu ashakua star Struggles zilimuacha na scars Bado anaendelea ku paa Cheki kaa hujarada hii story ni ya nani Hii story inaeza kua ya anyone Amini your dream That you're the one Kwa hii life you only get one chance So kaa wee ni baby Au Unaishi Kwa ghetto Kaa uko maganji Au Unaishi msoto Life haijali for less don't settle Follow your dreams Mpaka you make it
Sanatçı: H2 FrazeMi
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:50
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
H2 FrazeMi hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı