I AM şarkı sözleri
I Am kwa beat
Nakam na heat
Hii ni ya streets
Drill ni ya East
East East East Drill ni ya East
Na ni official bana...Kenya ndio beats
Mahali natoka si hukulanga mabeats
Si ndio beast
Drill ni ya East
Africa drill ni ya East
Kati ya S.A. na Ghana, Kenya ndio beast
Mahali natoka si hukulanga mabeats
Beast. Sio S.A. ama Ghana. Drill ni ya East
Drill ni true, itakuinspire
East huvibe hadi na choir
Hadi ma-opp joh wanagwaya
Itabidi rap wameretire
Side ya East ni kwa wabaya
Kaa tuko booth jua ni kubaya
Hadi ma-opp joh wanagwaya
Tunachezwa kwao hadi ulaya
Penye nia bro pana njia
Hip Hop nliifanyanga career
Success inakam, najua iko near
Naskia inacall. Simu inalia
Drill ni true, itakuinspire
East huvibe hadi na choir
Hadi ma-opp joh wanagwaya
Itabidi rap wameretire
East. East. East. Drill ni ya East
Na ni official bana...Kenya ndio beast
Mahali natoka si hukulanga mabeats
Si ndio beast
Drill ni ya East
Africa drill ni ya East
Kati ya S.A. na Ghana, Kenya ndio beast
Mahali natoka si hukulanga mabeats
Beast. Sio S.A. ama Ghana. Drill ni ya East
Drill ni ya East
Hii ni ya streets
Nakam na heat
I Am kwa beat