i am piga sherehe şarkı sözleri
Piga sherehe
Piga sherehe
Piga sherehe
Baada ya kazi tunapiga sherehe
Piga sherehe
Piga sherehe
Piga sherehe
Baada ya kazi weh jipe starehe
Nanii piga sherehe
Ukimpiga usimpige mwenyewe
Ita mabeshte waambie wasichelewe
Leo kuna vita
Tunapiga sherehe
Hatutambui tarehe
Holidays hatutambui tarehe
Ata Monday ni siku ya sherehe
Sherehe hatutamsamehe
Wallahi
Leo tunakula breko apa Nai
Alafu lunch coast ya viazi karai
Tukicheki views kwa sky
Tukimake deals kwa flight
Juu life kwa city
Lately
Wallahi ni kutricky
Kuishi bila plan si ni risky
Ata kwa party natafta riziki
Niko busy...
Kwa sherehe
Piga sherehe
Piga sherehe
Baada ya kazi tunapiga sherehe
Piga sherehe
Piga sherehe
Piga sherehe
Baada ya kazi weh jipe starehe