iamteered nimetoka e town şarkı sözleri

Napeda yangu jina flow na maarifa Na nimetoka E-town (E-town) Napeda yangu jina flow na maarifa na nimetoka E-town (E-town) Na nimetoka E-town (E-town) Na nimetoka E-town (E-town) Na nimetoka E-town (E-town) Na nimetoka E-town (E-town) Luku me natesa Rhyme naroganga inabaki wamwage pesa E-town we higher Tunasonga tuko higher tukitesa Tunasonga tuko higher tukitesaa Madiva wameiva wako zabe Wanaiva Maboy toka E-town Kwa Maluku tunatesa Kavida nigaka ta Cecily Muguka nituratua tukendia mpaka Italy E-town tunavifaru za warasta Wanapeda vako zangu ka za pastor Muthenya na utuku No usingizi ni kutafta Higher sales ndo uwashike itabidi umenitaftaa Napeda yangu jina flow na maarifa Na nimetoka E-town (E-town) Napeda yangu jina flow na maarifa na nimetoka E-town (E-town) Na nimetoka E-town (E-town) Na nimetoka E-town (E-town) Na nimetoka E-town (E-town) Na nimetoka E-town (E-town) Mtaa imepiga shawa Attraction na view Imepiga shawa Natia bidii na energy Wanabaki wamepagawa Vibe noma toka E-town Wanafly bila mabawaa Nataka kujibamba Kabla niume pamba E-town ndo mjini me najua naeza jibamba Smart boy nikishika mic nipe Saba Salaam najua zote Shikamoo? marahaba Mistari inauguza bana Ita daktari Kwa stage nawabeba kama nduthi ama gari Ntavuja hadi rekodi nikipata yangu zari Juu vile me namuok Me namuok kama nariii Napeda yangu jina flow na maarifa na nimetoka E-town (E-town) (E-town) Na nimetoka E-town (E-town) Na nimetoka E (E-town) Na nime Na nimetoka E-town (E-town) Na nimetoka E-town (E-town) Na nimetoka E-town (E-town) Na nimetoka E-town (E-town) Na nimetoka E-town (E-town)
Sanatçı: IAMTEERED
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:33
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
IAMTEERED hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı