iamteered sijui ni kwa nini şarkı sözleri

Vitu tam navitaka na (Sijui ni kwanini) Nani ananifuata na (Sijui ni kwanini) Niredwa ni Indo nthaka na (Sijui ni kwanini) Wa muthenya ni minyaka na (Sijui ni kwanini) Vitu tamu navitaka na (Sijui ni kwanini) Nani ananifuata na (Sijui ni kwanini) Niredwa ni Indo nthaka na (Sijui ni kwanini) Wa muthenya ni minyaka na (Sijui ni kwanini ) Sijui ni kwanini(aah!) Kila wakati hata niwe safarini Orodha ya vitu sweet inanisumbua akilini(atii) Vitu zote cute ata sijui nile nini (Wee!) nataka kitu kinaladha ya asali Kinachangamsha kama msee wa kamali Kizuri Cha jiuza hapa me sijali(don care) Nireda indo cie murio gukiruka sukari Warembo wako sweet wako fine Wanataka eti niwapee Namba ya mine Flow wamenoki mpaka wanawine Wamekuwa addicted na ngoma za mine(aaah!) Ongeza taste everyday Omundu winamagego apa vuja mavede Kunichunguza chunga apa me nina redee Irio kugia murio cinema kihidi (aiyayaya) Ongeza taste everyday Omundu winamagego apa vuja mavedee Kunichunguza chunga apa me nina redee Irio kugia murio cinema kihidi Vitu tam navitaka na (Sijui ni kwanini) Nani ananifuata na (Sijui ni kwanini) Niredwa ni Indo nthaka na (Sijui ni kwanini) Wa muthenya ni minyaka na (Sijui ni kwanini) Vitu tamu navitaka na (Sijui ni kwanini) Nani ananifuata na (Sijui ni kwanini) Niredwa ni Indo nthaka na (Sijui ni kwanini) Wa muthenya ni minyaka na (Sijui ni kwanini) Kila siku ni mazuri Niko strong kama simiti bamburi Utamu ujiumia nimejipanga vizuri Nataka vitu special ka mgeni Kwa ikuli Napendwa na walami Indo nice na murio utafikiri ni Miami Mistari me natema zinacome ka Tsunami Naflow juu ya utamu Kama gari juu ya lami (Vuua!) Everything sweet leta kwangu Nazipeda sana ka maisha yangu Vitu zote sweet na ni strange joh kakangu Siogopi bana wacha zote zije kwangu(kwangu) Ongeza taste everyday Omundu winamagego apa vuja mavedee Kunichunguza chunga apa me nina redee Irio kugia murio cinema kihidii Ongeza taste everyday Omundu winamagego apa vunja mavedee Kunichunguza chunga apa me nina redee Irio kugia murio cinema kihidii Vitu tam navitaka na (Sijui ni kwanini) Nani ananifuata na (Sijui ni kwanini) Niredwa ni indo nthaka na (Sijui ni kwanini) Wamuthenya ni minyaka na (Sijui ni kwanini) Vitu tam navitaka na (Sijui ni kwanini) Niredwa ni indo nthaka na (Sijui ni kwanini) Wamuthenya ni minyaka na Vitu tam navitaka na (Sijui ni kwanini) Nani ananifuata na (Sijui ni kwanini) Niredwa ni indo nthaka na (Sijui ni kwanini) Wamuthenya ni minyaka na (Sijui ni kwanini) Sijui ni kwanini Sijui ni kwanini Sijui ni kwanini Wamuthenya ni minyaka na (Sijui ni kwanini)
Sanatçı: IAMTEERED
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:00
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
IAMTEERED hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı