ibraah nitachelewa şarkı sözleri

Ah uh oh . Oh Chinga Ah... Ah uh oh (B Boy Beats) yeah! Sijui hata nifanyeje Sijui ata nifanyeje nini me Maana ata siamini No ow oho Nilikula kiapo nikungoje Ila baado haingii akilini Maana nishakula ya miniyawe Eh Kwa mashogazo ulichota mafumbo Ngoja ngoja inaniumiza tumbo Masikini umeshafata mkumbo Yaani umesepa Umeziacha zimejaza na rundoo Na una ponda yangu fupi nyundo Eti unanigong’a Tajiri wa uvundo Ndio chanzo umeniteka ah Na ninaimani nitajijengea Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya Maana before nilitimia Leo uwe mfano wa bandama umebanduka Labda yangu nyota Imefifia Wamekuteka wewe ah we ah Simanzi imenilemea shilingi imepinduka Kama usiporudi Nitachelewa (ooh uu ooh) Kupona nitachelewa Ah nitachelewa mama Nitachelewa Kupona nitachelewa Kupona maradhi ya moyo Nitachelewa (yeah) Kupona nitachelewa Kama si wewe nani tena Nitachelewa, kupona nitachelewa Nitachelewa mama Aah.. uhmm yeah yeah oooh .Yeah Mi najaribu kujisahaulisha Ila moyo unagoma, unagoma Hasa nikikumbuka Zako methali na nahau Japo unanionyesha dharau Moyo hautaki komaa kukoma Mwingine staki penda Na usidhani ka nitakusahau Ooh maana Vita penzi lako ntapigana Nikiamini utarudi we changama Maana siko sawa ujue Mkuki kwa nguruwe Kwa binadamu mchungu,wanaogombana Siku zote ndio wanaopatana Ama unapenda mii ninavolalama Sijui nilipokosa ujue Na malengo ujue Mi najua wewe langu fungu Na nina imani nitajijengea Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya Maana before nilitimia Leo uwe mfaano wa bandama umebanduka Labda yangu nyota Imefifia wamekuteka We hayaa we hayaa Simanzi imenielemea shilingi imepinduka Kama usiporudi Nitachelewa (ooh uh o) Kupona nitachelewa (Ah nitachelewa mama) Nitachelewa Kupona nitachelewa Kupoona maradhi ya moyo Nitachelewa (yeah) Kupona nitachelewa (kama sio wewe nani tena) Nitachelewa (oh na) Kupona nitachelewa Nitachelewa mama Chinga, Konde Music Worldwide Yeah yeah yeah yeah
Sanatçı: Ibraah
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:28
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Ibraah hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı