icc nairobi worship mfalme mkuu şarkı sözleri

Njooni tumwimbie mwenyezi Mungu (Come let us sing to our God) Tumshangilie mwamba wa wokovu wetu (Let's rejoice in the God of our salvation) Twende mbele zake na shukurani (Come before him with thanksgiving) Tumshangilie kwa nyimbo za sifa (Let's rejoice and give him praise) Muumba vyote, we ni Mungu (Creator of all things, you are God) We ni Mfalme, mungu juu ya miungu yote (You are King, King of all kings) Wastahili, sifa zote (You are worthy of all praise) We ni Mfalme, Mungu juu ya miungu yote (You are King, King of all kings) Njooni tumsujudu na kumwabudu (Come, bow down and worship) Tumpigie magoti mwenyezi Mungu (Let's bow before our God) Twende mbele zake na shukurani (Come before him with thanksgiving) Tumshangilie kwa nyimbo za sifa (Let's rejoice and give him praise) Muumba vyote, we ni Mungu (Creator of all things, you are God) We ni Mfalme, mungu juu ya miungu yote (You are King, King of all kings) Wastahili, sifa zote (You are worthy of all praise) We ni Mfalme, Mungu juu ya miungu yote (You are King, King of all kings) Ah eh, ah eh Mungu juu ya miungu yote (King of Kings) Muumba vyote, we ni Mungu (Creator of all things, you are God) We ni Mfalme, mungu juu ya miungu yote (You are King, King of all kings) Wastahili, sifa zote (You are worthy of all praise) We ni Mfalme, Mungu juu ya miungu yote (You are King, King of all kings) Mungu Mkuu, Mfalme Mkuu (Great God, Great King) Mungu Mkuu, juu ya miungu yote (Great God, above all other gods) Ah eh, ah eh Mungu juu ya miungu yote (King of Kings)
Sanatçı: ICC Nairobi Worship
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 5:48
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
ICC Nairobi Worship hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı