iconiq waves nikuone şarkı sözleri

Naskia kichwa mara tumbo mugongo ooh Nguvu naisha sina hata muchongo Ni lini siku itafika Nitimize malengo nami Niwe tajika ahh nitulize ubongo ohh Kwa wanadamu sina haki Wangegawa riziki singestahili Sa najaribu shinda dhiki Mbele zako nimeghairi Mpaka nikuone eiyee ooh oh Mpaka nikuone eiyee ooh oh Mpaka nikuone eiyee ooh oh Mpaka nikuone eiyee ooh oh Mana mwili damu nyama mi mnyonge we Wanataka nikanyaga nipiganie Kila vita nikishinda niseme Ni we Iwe Leo na kesho nisiwe the same Hata waninyonge wanikandamize nitasubiri Iwe mvua Upepo kote kunyeshe nakusubiri Mpaka nikuone eiyee ooh oh Mpaka nikuone eiyee ooh oh Mpaka nikuone eiyee ooh oh Mpaka nikuone eiyee ooh oh
Sanatçı: Iconiq Waves
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:14
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Iconiq Waves hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı