icy max bad vibes şarkı sözleri
Kd unachuna noma
Okay, huh, Icy
Tuko stu men
Bad vibes siko
Chuki siko
Kusota siko
Nasonga, nasonga
Nasonga, yeah yeah
Bad vibes siko
Chuki siko
Kusota siko
Nasonga, nasonga
Nasonga, yeah yeah
Nacheza vile mi niko
Mpaka nijaze maweng kwa benkiko
Napika nimeshikilia
Mwiko
Time inasonga buda siko
Tik tik tik tiko
Napiga show buda sina tiko
Steadily mi niko riko
Nachora bangers nipate masikio
Eti napush yeah
Hadi ijipe
Kuna mabeshte na buda pia
Kuna kupe
Kidole cha kati hater
Ninakupee
Kuwa beshte yangu
Buda pia inadepend
Bad vibes siko
Chuki siko
Kusota siko
Nasonga, nasonga
Nasonga, yeah yeah
Bad vibes siko
Chuki siko
Kusota siko
Nasonga, nasonga
Nasonga, yeah yeah
Kuna shawty nilidai
Lakini alijidai
Karibu nipende ngwai
Saa hii napiga mboka
Bila suti tai
Chilling kwa reclining
Nikisip chai
Aai
Eti ice kwa neck
Mini ninashine
Nabuy shares ama shamba
Before nibuy ndai
Kuomoka ni lazime yeah
Before nidie
Tunazidi tu kupaa
Kuliko kite
Eti napush yeah
Hadi ijipe
Kuna mabeshte na buda pia
Kuna kupe
Kidole cha kati hater
Ninakupee
Kuwa beshte yangu
Buda pia inadepend
Bad vibes siko
Chuki siko
Kusota siko
Nasonga, nasonga
Nasonga, yeah yeah
Bad vibes siko
Chuki siko
Kusota siko
Nasonga, nasonga
Nasonga, yeah yeah
Eti napush yeah
Hadi ijipe
Kuna mabeshte na buda pia
Kuna kupe
Kidole cha kati hater
Ninakupee
Kuwa beshte yangu
Buda pia inadepend
Bad vibes siko
Chuki siko
Kusota siko
Nasonga, nasonga
Nasonga, yeah yeah
Bad vibes siko
Chuki siko
Kusota siko
Nasonga, nasonga
Nasonga, yeah yeah
Shit unafanya buda inajipee
Hii side tuko mining
Yani tuko deep end
Hatuchezi na mboka
Na muriu ukicheza
Buda utatokwa yeah
Utatokwa yeah