icy max don't stop şarkı sözleri
(Whine your lil' waist for me)
Tumekam kuwaonyesha vyenye hii stuff inafanywa man
(Aye)
Whine your lil' waist for me (aye)
(Don't stop baby don't stop)
Don't stop baby don't stop
Whine your lil' waist for me (aye)
Don't stop baby don't stop
Whine your lil' waist for me
Mi, mi hupenda kucheza chini
Nikienda bash siendangi na wangu mimi
Nikienda bash ninamwachanga kejani (Kejani)
Ndio niteke mamali bila maswali (Maswali)
Aye najua niliblunder (blunder)
Ile day nilichachisha na Rhoda (Rhoda)
Kumbe informants wako rada (Rada)
Wanataka Icy apatwe hali mbaya (Mbaya)
Dem amewaka moto (moto)
Anachachisha juu ya meza na maphoto (photo)
kichwa ngumu ka kokoto
Anatwerk ni kama ameshinda Lotto
Nimechill kwenye section
Kwa public siko rada ya mamention (ya mamention)
Tuzitoke mpaka kesho (shoke, shoke)
Aki Rhoda ako rada ya Kamnyweso (drink)
Keep whining don't stop
Don't stop baby don't stop
Keep whining don't rush
Don't rush baby don't rush
Don't stop baby don't stop
Whine your lil' waist for me
Don't stop baby don't stop
Whine your lil' waist for me
Don't stop baby don't stop
Whine your lil' waist for me
Don't stop baby don't stop
Whine your lil' waist for me
Mi, mi hupenda kutesa mimi
Na mashawry wamecarry vitu bigi (vitu big)
Aye hii day niliblunder (blunder)
Manzi nilipull up naye alimada (mada)
Aye mainformers wako busy
Wanaroam kila place wako tizi
Na Rhoda ako clingy
Anawhisper eti anadai ndizi (aaai)
Ninasweat ninatense ninastammer (stammer)
Najiuliza ka ni club tutahama (hama)
Nikisonga nitakuwa nimechoma (choma)
Na najua mainformer watang'ora (ng'ora)
Nawacheki kwa masimu wanabonga (bonga)
Najua ni udaku na machocha (chocha)
Maboyz wangu wako hapa wanazoza
Team gani kali, Man U ama Arsenali? (weeuwe)
Na wazae wako huku wanatokwa mali (mali)
Wanacheki tu wapoa wanasaka ganji (warembo)
Wanazimia kwa counter wanaishi mbali (wamezima)
Najua msupa wangu ashapokea habari (stori)
Akilini najishow nitasafisha (nitamshow)
Nitamshow hao madem wanachachisha (wanadanganya)
Hii time Rhoda zake zimeshika (zimenice)
Anatingiza left right huwezi pita
Icy mi ni nani, sikuipita (sikuipita)
Nikaishika (nikaishika) vizuri nikaipinda (nikaipinda)
Kugeuka (kugeuka)
kamenuka (kamenuka) aah
Msupa amefika (amefika)
Keep whining don't stop
Don't stop baby don't stop
Keep whining don't rush
Don't rush baby don't rush
Don't stop baby don't stop
Whine your lil' waist for me
Don't stop baby don't stop
Whine your lil' waist for me
Don't stop baby don't stop
Whine your lil' waist for me
Don't stop baby don't stop
Whine your lil' waist for me
Kaydee, unachuna noma