icy max kazana şarkı sözleri
Haaaa
Twende kazi twende kazi twende kazi
Yeah
Kaydee let's get it
Kazana kazana
Buda kazana
Kazana kazana
Buda kazana
Sio easy kuseat kwa hii kuseat
Sio easy kutrap na hii beat
Sio easy ukiface this heat
Sio easy kudo this shit
Sio easy kuseat kwa hii kuseat
Sio easy kutrap na hii beat
Sio easy ukiface this heat
Sio easy kudo this shit
Zidi Kuwa jealous buda
Hatuwezi fanana
Kazana
Manzi yako anadai banana
Stori unapiga buda ni za jaba na
Level zangu ukitaka buda utakabwa na
Shawty wako anadai ninambamba na
Hapendi giza anaweza zidi kesho mchana
Huwezi karibia homie hata mchana
Security ni tight pande zote kama governor
Aye
Kazana kazana
Buda Kazana
Kazana kazana
Buda Kazana
Sio easy kuseat kwa hii kuseat
Sio easy kutrap na hii beat
Sio easy ukiface this heat
Sio easy kudo this shit
Sio easy kuseat kwa hii kuseat
Sio easy kutrap na hii beat
Sio easy ukiface this heat
Sio easy kudo this shit
Economy ikichuna buda ninachuna back
Sitawai tense kwa block
Hadi nikibuy benz
Kijana handsome kamba girl analike sana
Naona eye contact imekuwa sweet sana
Pewa choma buda usikae njaa sana
Icy ako area usiwahi konda man
Sinanga bad bad
With a fellow bad man
(With a fellow bad man)
Alinicheki base
Akasema wagwan
(Wagwan)
Kazana kazana
Buda Kazana
Kazana kazana
Buda Kazana
Sio easy kuseat kwa hii kuseat
Sio easy kutrap na hii beat
Sio easy ukiface this heat
Sio easy kudo this shit
Sio easy kuseat kwa hii kuseat
Sio easy kutrap na hii beat
Sio easy ukiface this heat
Sio easy kudo this shit
Shawty wako anadai ninambamba na
Hapendi giza anaweza zidi kesho mchana
Huwezi karibia homie hata mchana
Security ni tight pande zote kama governor
Aye
Sio easy kuseat kwa hii kuseat
Sio easy kutrap na hii beat
Sio easy ukiface this heat
Sio easy kudo this shit
Sio easy kuseat kwa hii kuseat
Sio easy kutrap na hii beat
Sio easy ukiface this heat
Sio easy kudo this shit
Yeah okay
Sio easy
Huwezi
Yeah