icy max najua şarkı sözleri
Kaydee
Yeah
Najua
Shit is sad man
Najua
Nang'ang'ana nang'ang'ana
Just aint working out though
I don't even know no more
But f*ck it, yeah
Nimechoka, umeniroga aye
Mi nasonga nakutoka yeah yeah aye
Nimechoka aye, umeniroga aye
Mi nasonga nakutoka yeah yeah
Mapenzi yataniua (uaaaa)
Yatanimaliza
Penzi litaniua (uaaaa)
Litanimaliza
Umefanya life yangu inakuwa stress
Unafanya life yangu imekuwa mess yeah
Imekuwa mess (messs)
Imekuwa mess
Yes, najua
Stuff nilifanya babe ilikuua
Ulilia usiku mchana jua ikatua
Ikatua (najua)
Ikatua yeah
Ikatua Ikatua (najua) yeah
Nilitaka unizalie watoto, lakini mambo yote mi
Najua
Si stori (stori)
Najua hupendi huyo shawty (shawty)
Ulinicheki ikakuwa ngori (ngori)
Sasa umekula mori (mori)
Najua
Si stori (stori)
Najua hupendi huyo shawty (shawty)
Ulinicheki ikakuwa ngori (ngori)
Sasa umekula mori (mori)
Najua
So sick ni ka niko na mafua
Ningekupenda the same ungekuwa mama fua
Nataka urest easy hapa kwa kifua
(rest easy)
Ni kama uko sure, ni kama uko sure (najua)
Promise u mapenzi tutakwachua
Kwa bedi kuna Trust hakuna za Masure
Splash splash nikiswim ka mashua
Si wewe unajua, si mimi ninajua
(unajua unajua)
Si stori (stori)
Najua hupendi huyo shawty (shawty)
Ulinicheki ikakuwa ngori (ngori)
Sasa umekula mori (mori)
Najua
Si stori (stori)
Najua hupendi huyo shawty (shawty)
Ulinicheki ikakuwa ngori (ngori)
Sasa umekula mori (mori)
Najua
Nimechoka, umeniroga (umeniroga)
Mi nasonga nakutoka yeah yeah aye
Nimechoka aye, umeniroga aye
Mi nasonga nakutoka
Let's get it, aye
Yeah, hoo hoo hoo