idd singer mimi nawe şarkı sözleri
Kanambia kweli yeye hataki mapenzi
Kilio wazi wazi
Kuumizwa moyo amechoka ye katulia
Mi siko kama alivyo nani
Nikudanganye honey
Nikutoe imanii
Kichwa kinaumaga
Kutwa kuwaza
Kama ipo siku utanikubaliaa
Najua unaniwaza
Macho yatangaza
Niamini yale yote nakwambia
Mwanzo mwisho mimi nawe
Mimi nawe mimi nawe
Mimi nawe
Mwanzo mwisho mimi nawe
Mimi nawe mimi nawe
Mimi nawe
Nipe moyo wako niulinde
Ubavu wangu wako
Unizike
Upengu wangu wako
Baby amini
We jua kwanini
Kichwa kinaumaga
Kutwa kuwaza
Kama ipo siku utanikubaliaa
Najua unaniwaza
Macho yatangaza
Niamini yale yote nakwambia
Mwanzo mwisho mimi nawe
Mimi nawe mimi nawe
Mimi nawe..
Mwanzo mwisho mimi nawe
Mimi nawe mimi nawe
Mimi nawe..