iddi singer asinikatae şarkı sözleri

Je utanipenda mi siku ukijua Visiri vyangu vyote nilivyoficha ukivitambua Wakishasopoka marafiki ukaja jua Pale ukweli wote ukifichuka mi nilioa Hofu yangu ohh Kukuuma roho Kuja kujua utaniweka mi kando Huruma yako uaminifu wako Vinanisuta kuwepo yule wa kando Naogopa asinikatae ahhh asinikatae Naogopa asinikatae ahhh asinikatae Mi naomba yabaki tu pale pale Moyo wangu usiuchane Mapenzi tu Kwako mi napata penzi Kamwe hatonisumbua Sizishuku zangu tenzi Naogopa kuugua Huba pasi na kizizi Kwako najitambua Yule mwenzio ameridhi Wengine wote pangua Yasitukute naomba yabaki pale pale Pasiwe na sababu mi na wewe tugombane Lisipungue pendo lako liwe pale pale Wasifaidi waliotamani tuachane Naogopa asinikatae ahhh asinikatae Naogopa asinikatae ahhh asinikatae Naogopa asinikatae ahhh asinikatae Naogopa asinikatae ahhh asinikatae Mi naomba yabaki tu pale pale Moyo wangu usiuchane Mapenzi tu Mi naomba yabaki tu pale pale Moyo wangu usiuchane Mapenzi tu
Sanatçı: Iddi Singer
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:24
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Iddi Singer hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı