iddi singer highschool love (feat. kaa la moto) şarkı sözleri

Nataka nikupe highschool kinda love Nataka nikuone nataka nikusome Nataka nikupe highschool kinda love Nataka nikuone nataka nikusome Hey gal it's me jay yah who else Been a minute but no one has taken your place Pace in the west eye ball no lense Nakumbuka breakfast spending time and the rest I still have your books i still love the looks Tuki sneak kwenye loo  Tuki loosen the hooks I still miss the smiles The first times on wine The tuitions and school trips and jokes ki design Kisses and hugging  These are kinda history  Making love lab tushashikwa double chemistry Sihitaji pharmacy ugonjwa wangu tiba we This is craziness I miss the old days baby Nataka nikupe highschool kinda love Nataka nikuone nataka nikusome Nataka nikupe highschool kinda love Nataka nikuone nataka nikusome Unakumbuka ile day tuki sneak out Kunilaumu kila time tukishikwa Kujifurisha mashavu kuuchuna My girl Unakumbuka zile letter nilituma Ukashindwa kuzileta ukawatuma Rafiki zako kuja kwangu kunichana You're my girl Ulikasirika sana nilipobonga na wengine Chuo tulijulikana Ulikasirika sana nilipobonga na wengine Chuo tulijulikana yeah yeah yeah Nataka nikupe highschool kinda love Nataka nikuone nataka nikusome Nataka nikupe highschool kinda love Nataka nikuone nataka nikusome Eyo my lady nataka sana uniamini Upendo wako kwangu haujapotea  Tangu zamani mi niliwai kukiri  Wakunipenda kamwe hajatokea  Eyo my lady nataka sana uniamini Upendo wako kwangu haujapotea  Tangu zamani mi niliwai kukiri  Wakunipenda kamwe hajatokea  Nataka nikupe highschool kinda love  Nataka nikuone nataka nikusome
Sanatçı: Iddi Singer
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:02
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Iddi Singer hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı