iddi singer ilete şarkı sözleri

Ushaliamsha dude Natazama si kuchungulia Ilete kinyumenyume Mi dereva mzigo napakia Nuru ya roho Ushaniwasha mama pingamizi sina Wacha choyo Usininyime raha mi nazizima Ilete.. Ilete.. Usiwaze sana nisisepe Nikupe banana ipekeche Hayaa.. Ohh mama ilete ilete Usiwaze sana nisisepe Nikupe banana ipekeche Hayaa Kamekamilika Katazame kila kona Kanavyomwagika Mate yanitona tona Ilete!.. Karibu yangu we ilete Sipigi supu wala kete Mazaga yote mi nichote Nuru ya roho Ushaniwasha mama pingamizi sina Wacha choyo Usininyime raha mi nazizima Ilete.. Ilete.. Usiwaze sana nisisepe Nikupe banana ipekeche Hayaa.. Ohh mama ilete ilete Usiwaze sana nisisepe Nikupe banana ipekeche Hayaa Sikupimii utaipata Vyovyote unayotaka Sizimi kwa kula bata Ukisema waipata Nuru ya roho Ushaniwasha mama pingamizi sina Wacha choyo Usininyime raha mi nazizima Ilete.. Ilete.. Usiwaze sana nisisepe Nikupe banana ipekeche Hayaa.. Ohh mama ilete ilete Usiwaze sana nisisepe Nikupe banana ipekeche Hayaa
Sanatçı: Iddi Singer
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:09
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Iddi Singer hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı