iddi singer imenilemea şarkı sözleri

Nafanya yote najishuku nakukosea Napotezea kula kuku mi nakuletea Sikupewa mi wa chuma waumiza wangu moyo Yamenishinda kunywa hayanipiti kwenye koo Nilijitahidi nikaambulia kuchezwa Tena kwa kusudi kurudi kwake analetwa Nilijitahidi nikaambulia kuchezwa Tena kwa kusudi kurudi kwake analetwa Siwezi na hali hii Kuteseka mi nikuridhishe mama Siwezi na hali hii oh Imenilemea Siwezi na hali hii Kuteseka mi nikuridhishe mama Siwezi na hali hii Ohh no no no no Nikiwa siko anatoka yee Nahangaika kutwa kucha daily Nikiwa sina anafoka yee Nimekubali bora mama uende Nimejitambua sasa ishakua kwa mdhamini nenda kalale Nimejisumbua sasa napumua huna ujanja toka kadange Nilijitahidi nikaambulia kuchezwa Tena kwa kusudi kurudi kwake analetwa Nilijitahidi nikaambulia kuchezwa Tena kwa kusudi kurudi kwake analetwa Siwezi na hali hii Kuteseka mi nikuridhishe mama Siwezi na hali hii oh Imenilemea Siwezi na hali hii Kuteseka mi nikuridhishe mama Siwezi na hali hii Ohh no no no no Unajiona gwiji unaruka viwanja huna haya wee Siwezi panda miti udongo wako mbaya we dada wee Unajiona gwiji unaruka viwanja huna haya we Siwezi panda miti udongo wako mbaya we dada wee Siwezi na hali hii Kuteseka mi nikuridhishe mama Siwezi na hali hii oh Imenilemea Siwezi na hali hii Kuteseka mi nikuridhishe mama Siwezi na hali hii Ohh no no no no
Sanatçı: Iddi Singer
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:28
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Iddi Singer hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı