iddi singer mungu tu şarkı sözleri

Yes you reign in heaven on earth and beneath Blessings Napiga goti naahidi kuamini mungu tu Najua kesho yangu sikukuu… Napiga goti naahidi kuamini mungu tu Najua kesho yangu sikukuu… Sasa nimesimama Nimesimama Tena niko imara, Niko imara Yote kwa sababu yake ye Sasa nimesimama Nimesimama Tena niko imara Niko imara Yote kwa sababu yake ye Ukweli upo moyoni Kila unachopitia hua ni mitihani… Yeah Una nguvu juani We pambana sana epuka kisirani Dunia ina mengi ujionee Watakuja wengi na waende Abaki wa kweli akupende Yule alie juu, Nae ni mungu tu Napiga goti naahidi kuamini mungu tu Najua kesho yangu sikukuu… Napiga goti naahidi kuamini mungu tu Najua kesho yangu sikukuu… Sasa nimesimama Nimesimama Tena niko imara, Niko imara Yote kwa sababu yake ye Sasa nimesimama Nimesimama Tena niko imara Niko imara Yote kwa sababu yake ye Hii ni kama ndoto, Kanipenda mi kijana wa ghetto Chosen one sina mchecheto Imani yangu kwako mambo mseto Dem never know where i am from In the Lord am going strong In the morning and the night i sing your song Nguvu yangu ni we Mpaji ni we Sioni yule atanitenganisha na we Mwangaza ni we Mlinzi ni we Ulivyo mwaminifu mi ntakufa nawe Naagalia juu juu juu juu Siwezi zama nilienae ni mkuu Naangalia juu juu juu juu Najua inakuja sikukuu Napiga goti naahidi kuamini mungu tu Najua kesho yangu sikukuu… Napiga goti naahidi kuamini mungu tu Najua kesho yangu sikukuu… Sasa nimesimama Nimesimama Tena niko imara, Niko imara Yote kwa sababu yake ye Sasa nimesimama Nimesimama Tena niko imara Niko imara Yote kwa sababu yake ye
Sanatçı: Iddi Singer
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:34
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Iddi Singer hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı