iddi singer my love şarkı sözleri

Nakiri kwako uzuri wako Unanimaliza Wengi wako ila uso wako Umenimulika Thamani yako si ya mkopo Watakutatiza Nipe mi japo dakika moko Nitafanikisha Mami ni wee ni wewe ni wee Lililobaki lisitoke Pendo langu nikupe lote Mami ni wee ni wewe ni wee Ukiinama niokote Ujuzi wangu ukuchoshe Nasema hivi nakupenda Na naahidi kua mi sitokutenda Na kwa mikuki my baby nitakukinga Nitakupenda zaidi mami ringa Coz you're my one and only Lover lover lover lover love My one and only lover lover lover lover love My one and only lover lover lover lover love My one and only lover lover lover lover love We ziba masikio Wasije kukudanganya Itaniumiza sana mamaaa Michezo yao sio Watakuzengua sana Mwishowe kukutukana Mami ni wee ni wewe ni wee Lililobaki lisitoke Pendo langu nikupe lote Mami ni wee ni wewe ni wee Ukiinama niokote Ujuzi wangu ukuchoshe Nasema hivi nakupenda Na naahidi kua mi sitokutenda Na kwa mikuki my baby nitakukinga Nitakupenda zaidi mami ringa Coz you're my one and only Lover lover lover lover love My one and only lover lover lover lover love My one and only lover lover lover lover love My one and only lover lover lover lover love
Sanatçı: Iddi Singer
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:26
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Iddi Singer hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı