iddi singer ni wee şarkı sözleri

Unapenda muziki Mi ni mtumbuizaji Mi nawaridhisha roho Mi naburudisha na changu kipaji Mi sipendagi kiki Na wala simwagi radhi Nikubali nilivyo Hii kwangu ni kazi Yeah yeah Nimesugua miaka mingi na bado nipo Sijakata tamaa Kutimizaga ya msingi sio simple Iondoe tamaa Usela shonde mi sipendi Kanyagia Urafiki wa kupretendi Potezea We aminia ndoto zako Endelea Iko siku utapaa na kuselelea Ni wee ni wee ni wee ni wee ni wee Nasema tena niwewe ni wee ni wee Ni wee ni wee ni wee ni wee ni wee Nasema tena niwewe ni wee ni wee Ongezea tu bidii we utatoka Si eti hawasikii utaomoka Ongezea tu bidii we utatoka Utatoka utatoka Ongezea tu bidii we utatoka Si eti hawasikii utaomoka Ongezea tu bidii we utatoka Utatoka utaomoka Wasikwambie hautaweza we fanya Naaminia nnachopenda nafanya Mziki wangu naupenda hata kama Sijulikani duniani iko namna Mi nitapaa Usijali misemo Kaba na vitendo Sote tutang'aa Tueneze upendo Tufate malengo Nimesugua miaka mingi na bado nipo Sijakata tamaa Kutimizaga ya msingi sio simple Iondoe tamaa Usela shonde mi sipendi Kanyagia Urafiki wa kupretendi Potezea We aminia ndoto zako Endelea Iko siku utapaa na kuselelea Ni wee ni wee ni wee ni wee ni wee Nasema tena niwewe ni wee ni wee Ni wee ni wee ni wee ni wee ni wee Nasema tena niwewe ni wee ni wee Ongezea tu bidii we utatoka Si eti hawasikii utaomoka Ongezea tu bidii we utatoka Utatoka utatoka Ongezea tu bidii we utatoka Si eti hawasikii utaomoka Ongezea tu bidii we utatoka Utatoka utaomoka
Sanatçı: Iddi Singer
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:14
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Iddi Singer hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı