iddi singer nilishe şarkı sözleri

Baby nilishe Mwenzako nimekutamani sana Nilishe Ni siku nyingi hatukutana Baby nilishe Hisia tele mi zimenikwama Nilishe Baby nilishe Baby nilishe Songa karibu Baby kwa utaratibu Daktari nikutibu Nikuponye.. Punguza aibu Watuskie kwa wivu Unilishe zabibu NikunyonyeNipe mi nikusifu Baby vumilia mi wako tabibu Usijali sitokonda Chumvini nikizama mi safura haitanigonga Ayy yyaa yyyaaa yaaa Nikiwa ndani usione Hayaa yaaa yaWe sema yote girl... Nilishe Baby nilishe Baby nilishe Toka juu kichwani nakuramba mpaka chini Usiogope majirani na wajue kuna nini Toka juu kichwani nakuramba mpaka chini Usiogope majirani na wajue kuna nini Baby nilishe Mwenzako nimekutamani sana Nilishe Ni siku nyingi hatukutana Baby nilishe Hisia tele mi zimenikwama Nilishe Baby nilishe Baby nilishe baby Nakungoja Tonight is the night Nimekuandalia I wanna feel your skin on mine Niko na vela we come tu na rizla Lazima tukiwashe Kabla ya ku foreplay Vile nahisi naughty Nitakupa vinasty Baby nilishe Mwenzako nimekutamani sana Nilishe Ni siku nyingi hatukutana Baby nilishe Hisia tele mi zimenikwama
Sanatçı: Iddi Singer
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:00
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Iddi Singer hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı