iddi singer zombie (feat. mercury) şarkı sözleri

Nachotaka ni we around me Ukiwa mbali nimikasa Umefanya niwe kama zombie Wanasema umeniwasha We ni buyu na mi ni rangi Penzi letu litapasha Kwako tight kuzuga sitaki Utamu wote mi napata Kama saa ya majira kwake mi nasimama Napoteza dira kama teja mi nazima Na zangu hisia kwake mi nimekwama Baby just leave it right there Kwake mi ugali bila mboga nitashiba Hata nidhurike na maradhi ye ndio tiba Hodari akiwa saba kiungo nane mi napiga Baby just leave it right there Anadeka nikiwambia kumuimbia Jinsi ninavyompenda yee Anacheka akinilalia kutulia Kufuli yangu ufunguo ni yee Anadeka nikiwambia kumuimbia Jinsi ninavyompenda yee Anacheka akinilalia kutulia Kufuli yangu ufunguo ni yee Vile umejibeba Watapata tabu sana watakesha Wakiomba sana mi nawe kuteta Niko sure na ndio maana mi napeta ahh Vile umejibeba ahh Watapata tabu sana watakesha Wakiomba sana mi nawe kuteta Niko sure na ndio maana mi napeta ahh Nachotaka uwe around me Ukiwa mbali nimikasa Umefanya niwe kama zombie Wanasema umeniwasha We ni buyu na mi ni rangi Penzi letu litapasha Kwako tight kuzuga sitaki Utamu wote mi napata yeah Ahh walinikataa Sifa mi nakupa hawafiki unag'aa We ni chuma umeniweza we kifaa Shepu rangi wapendeza wanifaa All i want is your love Kwako mi napata endlessly I wont play with your heart Mia mi nakupa sichezi Hivyo hivyo Napenda jinsi ulivyosimple simple Unapendeza na vidimple dimple Wanatamani uwe single single Hivyo hivyo Napenda jinsi ulivyosimple simple Unapendeza na vidimple dimple Wanatamani uwe single single Vile umejibeba Watapata tabu sana watakesha Wakiomba sana mi nawe kuteta Niko sure na ndio maana mi napeta Vile umejibeba Watapata tabu sana watakesha Wakiomba sana mi nawe kuteta Niko sure na ndio maana mi napeta Nachotaka ni we around me Ukiwa mbali nimikasa Umefanya niwe kama zombie Wanasema umeniwasha We ni buyu na mi ni rangi Penzi letu litapasha Kwako tight kuzuga sitaki Utamu wote mi napata yeah
Sanatçı: Iddi Singer
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:33
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Iddi Singer hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı