imote jay moto şarkı sözleri

Duma lazima niconfirm Ata kama mtabonga Si mwajua mi ni profyam Mbele mbele ninasonga Nikijivalisha kofia Masika haiwezi nigusa Usiku ndo mida ya curfew So hapo maji tutakata Dharau wembamba wa reli na hapo ndo gari moshi hupitia Unajifanya mkali nakupiga one two unatulia Sawa ni toothpick jichoche na ikikudinga lazima utalia Kwanza shake io booty ebu ipeleke kushoto kulia Napenda zikitingikaga Haga biggy kina Fatuma Hawa mashore hunimada Hasa pale wakichuchumaa Wananichomeaha rada Inabidi nawa stammarer Ninabonga gugu gaga Mchana kutwa kama fala Ju kama ni moto ni moto Kama ni fire ni fire ree Haga biggy luku moto Mimi kwake nimeganda wee Kama ni moto ni moto Kama ni fire ni fire ree Haga biggy luku moto Mimi kwake nimeganda wee Ju kama ni moto ni moto Kama ni fire ni fire ree Haga biggy luku moto Mimi kwake nimeganda wee Kama ni moto ni moto Kama ni fire ni fire ree Haga biggy luku moto Mimi kwake nimeganda wee Nakuja tucheze lingala shakushaku soko na odi kwa bedi Nakuja tucheze mpira mi ndo Maradona ntakufunga goli I swear ndulu utapiganga After this tutapanga matanga Ju walahi ninajua kutawaka Hadi neighbor aseme kimenuka Eh Lazima nichane matatu 3P swish shoti kama tatu Na sichezi dakika tatu lazima nicheze tu kama Lukaku Ju mnakuwaga watatu Njoki Akinyi na wewe wa tatu Na venye mlikiwa watatu sijui wallah uliza kiatu But usi worry Lenga io story Isilete ngori Tusiende koti Na sitarekodi sitaki ilete vurugu ka Toti Io ni ngori wallah imagine makofi kaa 40 Pa Pa Pa Ju kama ni moto ni moto Kama ni fire ni fire ree Haga biggy luku moto Mimi kwake nimeganda wee Kama ni moto ni moto Kama ni fire ni fire ree Haga biggy luku moto Mimi kwake nimeganda wee Ju kama ni moto ni moto Kama ni fire ni fire ree Haga biggy luku moto Mimi kwake nimeganda wee Kama ni moto ni moto Kama ni fire ni fire ree Haga biggy luku moto Mimi kwake nimeganda wee Nikikafunga ujue joh mimi ni ndume sihitaji nguvu Kuongeza dozi kuchangaya muhogo mukhombero na kula njugu As long as before hii ligi ianze nikuwe nimewasha kindukulu I swear apa rumba tutalisakata mimi na wewe hadi kukulu Na si ni lazima niconfirm Ata kama mtabonga Mnajua mi ni profyam Mbele mbele ninasonga Nikijivalisha kofia Masika haiwezi nigusa Usiku ndo mida ya curfew So hapo maji tutakata Napenda zikitingikaga Haga biggy kina Fatuma Hawa mashore hunimada Hasa pale wakichuchumaa Wananichomeaha rada Inabidi nawa stammarer Ninabonga gugu gaga Mchana kutwa kama fala Ju kama ni moto ni moto Kama ni fire ni fire ree Haga biggy luku moto Mimi kwake nimeganda wee Kama ni moto ni moto Kama ni fire ni fire ree Haga biggy luku moto Mimi kwake nimeganda wee Ju kama ni moto ni moto Kama ni fire ni fire ree Haga biggy luku moto Mimi kwake nimeganda wee Kama ni moto ni moto Kama ni fire ni fire ree Haga biggy luku moto Mimi kwake nimeganda wee
Sanatçı: Imote Jay
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:22
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Imote Jay hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı