inorhymes my everything şarkı sözleri
Yule si ndio yuleyule
aliyenitesaga zamani alieniumiza zamani
Yule si ndio yuleyule
Aliyeniachaga mimi
We ndio mama baby baby
Se ndio ndio my lady lady
We ndio my qween lady, because you are in my heart
Unajua vile nakupenda, unajua vile nakupenda,unajua vile nakupenda baby ee
Unajua vile nakupenda, unajua vile nakupenda,unajua vile nakupenda baby ee
Sitaki fanya uchukie,Sitaki fanya uchukie,Sitaki fanya uchukie baby baby gha
Sitaki fanya uchukie,Sitaki fanya uchukie,Sitaki fanya uchukie baby baby noo honono
You are my everthing yeah
You are my everthing honono
You are my everthing yeah
Because your in my heart mmmh..
You are my everthing yeah
You are my everthing honono
You are my everthing yeah
Because your in my heart mmmh..
Nakumbuka
Siku nakuvisha pete ya uchumba Kidoleni mwako
Ukasema baby sitokuacha sitokuacha Nikajibu sitokuacha baby
Vile we unajua,mimi nakupenda
Usije zingua,kama aliyekwenda
Nikaja jiua kisa kukupenda baby ee Walishasema mambo mengi kuhusu mii Tunamabonde na milima lakiinii Hatuachani hata waseme ninii
Mpaka sasa uko namiii
Sitokuacha haki ya nanii Ghaah
Sitaki fanya uchukie,Sitaki fanya uchukie,Sitaki fanya uchukie baby baby noo honono
You are my everthing yeah
You are my everthing honono
You are my everthing yeah
Because your in my heart mmmh..
You are my everthing yeah
You are my everthing honono
You are my everthing yeah
Because your in my heart mmmh..
Ghaa
You my Everything baby
You my everything baby
You my everything baby
Hata nikikaa kila saa minakuwaza baby Ona mwili wangu nimekonda kisa nakuwazaa
You my Everything yeah
You my Everything baby baby baby ho nono