ireign unanipelekesha şarkı sözleri
Excuse me Girl
Hivi nshawai kukuona wapi?
Nimeona bora nijipendekeze kwako
Gal, Namba zako ati zero ngapi ngapi?
Nikupigie nisikie sauti yako
Malaika
Kasura kashep kijamaica
Kamoyo kanababaika
Na wala sishangai kujigonga na wewe
Iyee
Asalale
Akiinama
Nimkodolee
Iyee
Chop my money
All is for you my bebe
Sugua gaga
Likitingika Hilo Haga
Aah bebe
Kachiri saga
Tingika ka unacheza raga
Aah wewe
We shore unanipelekesha
We shore unanipelekesha
We shore unanipelekesha
We shore unanipelekesha
Unanikosha
Adi naogopa kukukosa
Aai inatosha
Ukizidisha ntahonga verosa kwako wewe
Imepusa
Nionyeshe maajabu ya Musa
Aaah Kipusa
Utanipa na Sio kunusa ninogewe
Nikupeleke Mombasa
Ukale nyama ya kasa
Vile kwako nilivyonasa
Ntashindwa kukutomasa
Sugua gaga
Likitingika Hilo Haga
Aah bebe
Kachiri saga
Tingika ka uniacheza raga
Aaah wewe
We shore unanipelekesha
We shore unanipelekesha
We shore unanipelekesha
We shore unanipelekesha
I know u feel like I'm gonna play you nikuache
Aah Sikuachi
Coz I know am really serious about you
Am really serious about you

