is this abdul hamnipati şarkı sözleri

Mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati Mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati Ata kwa party chapo hawazipati, mnanitafuta hamnipati Mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati Love in the air funika mapua, mi ni OG siku hizi huwa siogi Usiku nilikuwa disco matanga, kidogo saa sita nikasikia happy new year Siku hizi bae anachekeshwa na Alby, ukishuta na hasira si utajikunyia We ni wa yellow ama Azimio, pea uyo mbleina tissue anasikia kupoopoo Na ukinicross marithe za poopoo, napenda poopoo nilizaliwa Pumu Huyo Kienyeji anajiita Rihanna, akona Puppy kaumbwa na dogi Manzi yako anapenda Dogi, ako kwa mbogi anakulwa ka mbinginji Kibenje ilizidi na senke, walitoka ilale ka joni za mbeere. Mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati Mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati Ata kwa party chapo hawazipati, mnanitafuta hamnipati Mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati It's a boy mi humletea APC, bro ukiingia ni uingie na gumboots Juzi diani nilikuwa na Auntie, akaniuliza ka najua kuendesha gari Nataka harrier mi nataka Bentley, akasema my boy usikuwe na wasi wasi Sina talanta sina kipaji, lakini naeza andika ata kuliko Jay Z Masaa ingine mi hukaa juu ya mabati, morio ako kajaba morio ako mafuaka Si zimeshika si zimeripoti, kwa party na pull up na color Green Ushaiona mawe ya chuma, hapa tunakufanya ka Gidi na Ghosty Kumbe Wafula aliachwa na bibi, this year nataka collabo na Jerry Mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati Mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati Ata kwa party chapo hawazipati, mnanitafuta hamnipati Mnanitafuta hamnipati, mnanitafuta hamnipati Hiyo ni kikombe ya yellow, hiyo ni kikombe ya yellow apo eeh ebu hii watch yangu sasa Kibenje ilizidi na senke, walitoka ilale ka joni za mbeere na ukinicross marithe za poopoo poopoo poopoo
Sanatçı: Is This Abdul
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi:
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Is This Abdul hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı