isabelaa mlete mzungu şarkı sözleri
Ohhh ohhh ohhh...
Cheza kwa step
Usimkanyage mwenzio
We cheza kwa step
Usimkanyage mwenzio
And the party don't sleep
Usilale usilale
Tuko macho kodo kodo
Usilale usilale
And the party don't sleep
Usilale usilale
Tupo macho kodo kodo
Usilale usilale
Na mabawa
Nikishalewa kama namabawa
Nikishalewa nikishalewa
Aya mlete mzungu
Aya mlete mzungu
Mlete mzungu
Aya mlete mzungu
Mlete mzungu
Oha oha oha ohhh
Ukiniona nipo kama sipo
Ulinzi wa kutosha
Too many people
Kuwaka kuchoma huko sekta ya jiko
No kurun run huku kwetu mwiko
Ash ash glass sip sip oh
Ash ash kama babu na kiko
Aaah niwawili wili
Chako cha juu acha chini kiwiliwili
Aah sio siri siri
Ninavocheza mzungu na kill it kill it
Aah saga kachili
Kanyaga kanyaga makili kili
Chicha tupo chicha
Chi chi chi chi
Chicha tumetoka chicha
Chi chi chi chi
Chicha tupo chicha
Chi chi chi chi
Chicha tumetoka chicha
Na mabawa
Nikishalewa kama namabawa
Nikishalewa nikishalewa
Aya mlete mzungu
Aya mlete mzungu
Mlete mzungu
Aya mlete mzungu
Mlete mzungu
Chicha
Chicha

