isaka reborn alaji şarkı sözleri

Dunia inazunguka Ulimwengu inabadilika Upendo hakuna tena Ndugu chuki twekeana Jirani twarogana Rafiki twasengenyana Binadamu twauwana Usiku na mchana Tena na tena tena Amani hakuna tena Magonjwa twapata kila siku Hakuna tiba Maleria Ebola Mpaka corona Wakubwa ni vitambii tu bungeni wananona Nashangaa mbona binadamu twaishi kaa wanyama Ukiwa maskini kwa jamii hauna maana Utaonyeshwa mateso na dharau la kila aina Ila usijali Mungu juu mbinguni ana waona Kila litendekalo chini ya jua lina maana Maisha ni mtiani na kila mtu ana yake Wengi huifeli ju wafuata za wenzao Maswali tafauti bro Tumia akili yako Nina alaji na tabia za dunia Kila kitu wakifanya msela naumia Yani kila siku naskia kulia Yani kila siku naskia kulia Nina alaji na tabia za dunia Kila kitu wakifanya msela naumia Yani kila siku naskia kulia Yani kila siku naskia kulia Reborn boy kwa ukweli naumia Tabia za dunia zinanifanya mi nalia Angalia Kila kukiingia Zaidi ya mamia wote wana angamia Wakubwa na wadogo wote wana murukia Mungu pia ana angalia Mabaya mulio fanya bila hata kufikiria Msalabani alitufia Tumtumikie ili heaven tuingie Mabaya unayo fanya we msela utalipia So kabla ufanye brother meny fikiria Fikiria brother meny So kabla ufanye brother meny fikiria Fikiria brother meny Nina alaji na tabia za dunia Kila kitu wakifanya msela naumia Yani kila siku naskia kulia Yani kila siku naskia kulia Nina alaji na tabia za dunia Kila kitu wakifanya msela naumia Yani kila siku naskia kulia Yani kila siku naskia kulia Wahenga alisema aleye juu mgoje chini Usione umepata leo uka mdharau maskini Dunia ni mzunguko sazingine upenduka Usione umepata uka sahau ulipotoka Walio kusaidia Leo umewatupa Hawana paku lala wana lala kwa mapipa Usiku mzima baridi inawapiga We unakula raha Wengine wa lala njuu Rafiki wa ukweli uwezi mwacha mwenzio Tusije chukiana keshow ikakuwa kilio Ukiona nimelemewa brother ni shike mkono Ufukara wangu sikupenda kwangu ni maisha Na hii ni halitu Kwenda kesho ikaisha Umaskini si ulemavu ni hali ya maisha Huenda kesho Mambo kuja badilika Msela nika pambazuka Mambo yaka peperuka yoh Nina alaji na tabia za dunia Kila kitu wakifanya msela naumia Yani kila siku naskia kulia Yani kila siku naskia kulia Nina alaji na tabia za dunia Kila kitu wakifanya msela naumia Yani kila siku naskia kulia Yani kila siku naskia kulia
Sanatçı: Isaka Reborn
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:45
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Isaka Reborn hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı