israel mbonyi nina siri şarkı sözleri

Nina siri naye Yesu yanifanya niwe jasiri (I have a secret with Jesus that makes stand bold (strong)* Kwa amani nayo dhiki yanifanya niwe jasiri (In a peace and distress He makes me bold Yaniburudisha nikirukaruka hossana amen (He refreshes me as I jump singing hosanna amen Yaniburudisha nikirukaruka niki imba hossana amen (He refreshes me as I jump singing hosanna amen Wambie wanaolia wakiteswa na malimwengu; (Tell those who cry, those who are tormented by the world Waonjeni neema yake na rehema yake mwokozi (Let them taste His grace and savior's mercy Watafunguliwa, watawekwa huru wakiimba hossana amen (They will be delivered, they'll be set free singing hosanna amen
Sanatçı: Israel Mbonyi
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 11:12
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Israel Mbonyi hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı