issai ibungu azam, vol. 1 (feat. rayvanny) şarkı sözleri
Nyoosha
mikono juu, (Chui!)
Kama unaipenda Azam mikono juu
SoundBoy
Eiyo Kenny
Oooooh ooh azam yetu
Hatuna maneno tunafanya yetu
Oooooh ooh azam yetu
Ushindi jadi yetu asa Azam yetu
Oleee ohole oh la-laa
Oleee ohole oh la-laa
Zetu dua, atuvunji nazi
Mpira uwanjani mwendo kazi kazi
Team bora kama mbele iyo ipo wazi
Hata Barcelona hatoboi akija cha machi
Haoo haoo, wame ya kanyaga leo
Mama mama mama! mama mama
weka weka weka!
Haao haao watatukoma leo
Kule mambo kule wewe
Eti watauweza moto? (hawauwezi moto)
Moto wa azam baba? (hawauwezi moto)
Nasema watauweza moto? (hawauwezi moto)
Moto to-to-to-to wa chabanzi (hawauwezi moto)
Wa-wa-wa wambie (tunakuja kivingine)
Yusuf Bakhresa wambie (tunakuja kivingine)
Wa-wa-wa wambie (tunakuja kivingine)
Wa-wa-wa wambie (tunakuja kivingine)
Wakikuliza sisi nani? (Aaah azam balaa!)
Wambie azam balaa (Aaah azam balaa!)
Kipre junior ana ng'aa (Aaah azam balaa!)
Tape Ednhio shujaa (Aaah azam balaa!)
Prince Dube tupe raha (Aaah azam balaa!)
Yusuf Bakhresa huna baya, naona uwekezaji
Azam kama ulaya cheki wachezaji
Kichwa zaka Zakazi msemaji la wasemaji!
Ali Ahamada anadaka yani mpaka radi
Boss Jess kawaambia tusubiri
Pascal Msindo apake pilipili
Rodger Kola magoli utitili
Tepsie Evance kichwa bongo migwipo Brazil
Nyoosha mikono juu
Kama unaipenda Azam mikono juu
Nyoosha mikono juu
Kama unaipenda Azam mikono juu
Nasema mikono juu
Mikono juu tueke mikono juu, ikono juu
Nasema mikono juu
Mikono juu tueke mikono juu, ikono juu
Oooooh ooh azam yetu
Hatuna maneno tunafanya yetu
Oooooh ooh azam yetu
Ushindi jadi yetu sasa Azam yetu
Oleee ohole oh la-laa
Oleee ohole oh la-laa
Nyoosha mikono juu
Azam boy

