issai ibungu bigudi (feat. bistou cent selekta) şarkı sözleri

Frère Jacques Frère Jacques Dormez-vous Dormez-vous Sonnez les matines kengele inalia Ding deng dong kumasomo Oh mwalimu mwalimu ona urefu wetu Mwalimu mwalimu ona urefu wetu Oh twageuka wa fupi Oh twageuka wa refu Oh twageuka wa fupi Oh twageuka wa refu Eh-Eh Eh-Eh Eh-Eh We kaka ng'ambo yako, eh (bigudi) Dada ng'ambo yako cheki (bigudi) Kutwa twacheka mungini Tukachome pasi ni nini Na ma nyimbo za zamani Tuko ku-system ya zamani Muinga ataumia ungeiiga watakuzomea Ndani ya darasa zamani tulikuwa tukiimba 'Eeh! Mwalimu acha lufimboo Wee mwalimu wacha lufimboo Lule lufimboo luna luma kumatako Lule lufimboo luna luma kumatako' Mama Mimi katoto silale sina maneno Mama Mimi katoto silale sina maneno Mama (Mwalimu wetu) Mama (Mwalimu wetu) Mama (Mwalimu wetu hapendake makelele) Twende (Kumungini) Twende (Kumungini) Twende (Kumungini kula bugali na ndagala) Njaa, njaa, njaa mwalimu Njaa, njaa, njaa mwalimu Oh mwalimu wetu saa inaenea Tunataka kwenda kukata lutongi! Oh mwalimu mwalimu ona urefu wetu Mwalimu mwalimu ona urefu wetu Oh twageuka wa fupi Oh twageuka wa refu Oh twageuka wa fupi Oh twageuka wa refu Eh-Eh Eh-Eh Eh-Eh We kaka ng'ambo yako, eh (Bigudi) Dada ng'ambo yako cheki (Bigudi) Gentil fille (Gentil) Gentil fille (Gentil) Wasika wanane (Gentil) Wana siri yao (Gentil) Kulambula tunda (Gentil) Tunda la Ever (Gentil) Muteremuko mai ya piga magoti Moya, Piga magoti Mbili, piga magoti Tatu, piga magoti Inne, Bana Buzeba (Buzijidike sont prés sina mushindiko sont des prés) Yaku kushinidika sont des prés Yaku kushinidika sont des prés Usinishindike sont prés Sina mushundiko sont des pres Yaku kushinidika sont des prés Yaku kushinidika shindika shindika shindika Mama Kabibi funga mulango Kibombo bombo kisiingie Mama Kabibi funga mulango Kibombo bombo kisiingie Kibombo kumuti Jida Mama kinamaliza mapera ya Jidda mama Kibombo kumuti Jida Mama kinamaliza mapera ya Jidda mama Lundi Mardi, Mercredi Jeudi Vendredi Samedi Dimanche! Oh mwalimu mwalimu ona urefu wetu Mwalimu mwalimu ona urefu wetu Oh twageuka wa fupi Oh twageuka wa refu Oh twageuka wa fupi Oh twageuka wa refu Eh-Eh Eh-Eh Eh-Eh We kaka ng'ambo yako, eh (Bigudi) Munataka nini bamboula c'est ça? Tunataka bibi, bamboula c'est ça? Bibi yenu nani, kule anaenda Hakulake sombe, sombe yake nyama Kitanda cha ressort, nyumba ya étage bamboula c'est ça Oh nje nje njeee kalile ngula Nje nje njeee kalile ngula Oh kalile ngula tunachatu kalile ngula Oh kalile ngula kabiri kalile ngula Tubiri, Tuchatu Bende kivu Bende kivu Tout sallysarry la d'abord Kebulu elombe, Mwango elombe Kanga mutu wana hewana elombe Yaszalikoya elombe sukisaliwa elombe Na musili ya ng'ombe ng'ombe du Zuka pilipili na mungu yakolela nyau nyau nyau nyau Odin s'est échoué échoué quatre-vingt six Odin s'est échoué échoué quatre-vingt six Odin s'est échoué échoué quatre-vingt six Odin s'est échoué échoué quatre-vingt six Ehn ehn ehn Chagua wako, malembeee malembe Ohh Chagua wako, malembeee malembe Oh Chagua wako, malembeee malembe Ohh Chagua wako, malembeee malembe Ehn-Ehn, Ehn-Ehn, Ehn-Ehn, Ehn-Ehn, Ehn-Ehn Twende twende twende kalishangwe Twende kalishangwe tukacheze Yandondo ya mutima, yandondo ya mutima Yandondo ya mutima, yandondo ya mutima Yandondo ya mutima, yandondo Ama chikichiki ballon ikagonga poto savais wooooo Ama chikichiki ballon ikagonga poto savais wooooo Ama chikichiki ballon ikagonga poto savais wooooo Enh! Enh! Tunababorka mai ya kishokoro Tunababoreka mai ya kishokoro Tunababoreka mai ya kishokoro Tunababoreka mai ya kishokoroh! Oh mwalimu mwalimu ona urefu wetu Mwalimu mwalimu ona urefu wetu Oh twageuka wa fupi Oh twageuka wa refu Oh twageuka wa fupi Oh twageuka wa refu Eh-Eh Eh-Eh Eh-Eh We kaka ng'ambo yako, eh (Bigudi) Dada ng'ambo yako cheki (Bigudi) Hoo mwenye hana kwabo alale kumuti Simba iko pale itamkulakula Mwenye hana kwabo alale kumuti Simba iko pale itamkulakula Ohoh mama huwa chui? ('N'taua') Oh mama huwa chui? ('N'taua') Ale mama huwa chui? ('N'taua') Oh mama huwa chui? ('N'taua') Ai mama huwa chui? ('N'taua') Mama huwa chui? ('N'taua') Ohoh mama huwa chui? ('N'taua') Mama huwa chui? ('N'taua') Un, deux, trois, qui est celui-là? Police Un, deux, trois, qui est celui-là? Voleur Un, deux, trois, qui est celui-là? Police Un, deux, trois, qui est celui-là? Voleur Un, préparez-vous Deux, dévoue, j'ai Trois, position Quatre, attaque
Sanatçı: ISSAI IBUNGU
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 9:22
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
ISSAI IBUNGU hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı