ISSAI IBUNGU

Diamond Karanga (feat. Diamond Platnumz & Leønard Bz) [Advertisement]

issai ibungu diamond karanga (feat. diamond platnumz & leønard bz) [advertisement] şarkı sözleri

Zilezama kupekecha kupekecha Kwa mikono kizamani (zamani) Sikuizi safi unakuta zimewekwa Kuwapa kiti ziko ndani Unachana kiulaini Kisha unaweka kinywani Tena 'naeza tembea nazo ofisini, shule, hata barabarani Iwepo maji au maziwa Juice ama masoda Kazi kwako, in hipi unapendaga Usije ukasimuliwa Vyenye utamu unanoga Nunua zako jitafunie kwa saga (yiii) Kwa wakubwa watoto wanapendaga (Diamond) Oh down (Diamond Karanga) Aga, kwa 300 tu (Diamond, Diamond Karanga) Wasanii kwa wanamichezo (Diamond) (Diamond Karanga) Kwenye dala dala mashuleni (Diamond) Ooh! (Diamond Karanga) Hata si' tunakulaga Nogewa, Jirrraaambe Na utamu halisi, Wa Karanga halisi Wakitanzania 'Diamond Karanga' Sasa zinapatikana madukani kote
Sanatçı: ISSAI IBUNGU
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 1:03
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
ISSAI IBUNGU hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı