issai ibungu diamond karanga (feat. diamond platnumz & leønard bz) [advertisement] şarkı sözleri
Zilezama kupekecha kupekecha
Kwa mikono kizamani (zamani)
Sikuizi safi unakuta zimewekwa
Kuwapa kiti ziko ndani
Unachana kiulaini
Kisha unaweka kinywani
Tena 'naeza tembea nazo ofisini, shule, hata barabarani
Iwepo maji au maziwa
Juice ama masoda
Kazi kwako, in hipi unapendaga
Usije ukasimuliwa
Vyenye utamu unanoga
Nunua zako jitafunie kwa saga (yiii)
Kwa wakubwa watoto wanapendaga
(Diamond) Oh down
(Diamond Karanga) Aga, kwa 300 tu
(Diamond, Diamond Karanga)
Wasanii kwa wanamichezo (Diamond)
(Diamond Karanga)
Kwenye dala dala mashuleni (Diamond)
Ooh! (Diamond Karanga)
Hata si' tunakulaga
Nogewa, Jirrraaambe
Na utamu halisi, Wa Karanga halisi
Wakitanzania 'Diamond Karanga'
Sasa zinapatikana madukani kote

