issai ibungu macho yangu (feat. steven kanumba) şarkı sözleri

Nitayainua macho yangu nitazame milima aah Msaada wangu baba utatoka wapiii? Msaada wangu katika bwana mbingu na nchini zakee Asiuache mguu wako usogezwe Hata sinzia, hata lala, yeye mlinzi wangu Atanilinda mabaya yote na nafsi yangu Nitayainua macho yangu nitazame milima aah Msaada wangu baba utatoka wapiii? Msaada wangu katika bwana mbingu na nchini zakee Asiuache mguu wako usogezwe Hata sinzia, hata lala, yeye mlinzi wangu Atanilinda mabaya yote na nafsi yangu Maisha haya nayakabidhi kwako mollah wangu we Maisha yangu duniani Yatawale wewe peke yako usinitupe Sifa na utukufu-eh Yatawale wewe peke yako, eeeh baba Nitayainua macho yangu nitazame milima aah Msaada wangu baba utatoka wapiii? Msaada wangu katika bwana mbingu na nchini zakee Asiuache mguu wako usogezwe Hata sinzia, hata lala, yeye mlinzi wangu Atanilinda mabaya yote na nafsi yangu Nitayainua macho yangu nitazame milima aah Msaada wangu baba utatoka wapiii? Msaada wangu katika bwana mbingu na nchini zakee Asiuache mguu wako usogezwe Hata sinzia, hata lala, yeye mlinzi wangu Atanilinda mabaya yote na nafsi yangu Kama leo nikifaa Kila mtu atanisifu kwa lake -ametutoka msanii wetu tulie mpenda - -eti, 'pengo la Kanumba ataliziba nani?'- Hata hao wanaonichukia watabeba jeneza langu Kwa nyimbo na sala za uzuni Wenzangu leo niko hai Twachukiana sana Usoni twacheka, rohoni ni vita, vikali Tuambiane tusameane, tuishi kwa amani, upendo Furaha yetu hadi mbinguni furaha ile ya mileleee "Eh, mola- Mimi maskini mnyonge mmoja Kupigana na jeshi la watu 1000 Simuezi hata mmoja!" Tusipo sameana, tutasameana lini, tukisha kufaaa? Nitayainua macho yangu nitazame milima aah Msaada wangu baba utatoka wapiii? Msaada wangu katika bwana mbingu na nchini zakee Asiuache mguu wako usogezwe Hata sinzia, hata lala, yeye mlinzi wangu Atanilinda mabaya yote na nafsi yangu Nitayainua macho yangu nitazame milima aah Msaada wangu baba utatoka wapiii? Msaada wangu katika bwana mbingu na nchini zakee Asiuache mguu wako usogezwe Hata sinzia, hata lala, yeye mlinzi wangu Atanilinda mabaya yote na nafsi yangu Sema na moyo wangu baba Sema na maisha yangu Kanumba Vita in vikali mi' nimasikini Siwezi pigana weee! Nitayainua macho yangu nitazame milima aah Msaada wangu baba utatoka wapiii? Msaada wangu katika bwana mbingu na nchini zakee Asiuache mguu wako usogezwe Nitayainua macho yangu nitazame milima aah Msaada wangu baba utatoka wapiii? Msaada wangu katika bwana mbingu na nchini zakee Asiuache mguu wako usogezwe Hata sinzia, hata lala, yeye mlinzi wangu Atanilinda mabaya yote na nafsi yangu Nitayainua macho yangu nitazame milima aah Msaada wangu baba utatoka wapiii? Msaada wangu katika bwana mbingu na nchini zakee Asiuache mguu wako usogezwe Hata sinzia, hata lala, yeye mlinzi wangu Atanilinda mabaya yote na nafsi yangu
Sanatçı: ISSAI IBUNGU
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 7:32
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
ISSAI IBUNGU hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı