issai ibungu mtanzania şarkı sözleri
Wewe manzania
Ringa Tanzania
Cheza Tanzania, kumbuka kuijenga Tanzania
Wewe mtanzania
Ringa Tanzania
Cheza Tanzania, kumbuka kuijenga Tanzania
Mtanzania amini jivunia
Ongeza nia kuijenga Tanzania
Nyerere Karume aminia
Japo sasa wameisha tanguliya
Nchi nyingi watu wanalia
Daily wanatanga na njia
Amani wanaililia
Ma bomu yana hua familia
Wewe mtanzania
Ringa Tanzania
Cheza Tanzania, kumbuka kuijenga Tanzania
Wewe mtanzania
Ringa Tanzania
Cheza Tanzania, kumbuka kuijenga Tanzania
Nchi nyingi watu wanashida
Ila shida kwetu kawaida
Aliyo nacho na atoe misaada
Sio daily tunasaka vimada
Bongo chemsha bongo
Bingo kuipata songo bingo
Tanzania kuna mingi michongo
Amani hakuna longo longo
Wewe mtanzania
Ringa Tanzania
Cheza Tanzania, kumbuka kuijenga Tanzania
Wewe mtanzania
Ringa Tanzania
Cheza Tanzania, kumbuka kuijenga Tanzania
Kama unatoka Afrika usikose kwenda kusimulia
Ya kwamba ukifika Afrika usikose kufika Tanzania
Wanaishi kwaamani
Pia hakuna ukabila
Kama ukabila ulikuwa zamani
Sasa tuna safi sura
Tanzania Tanzania yangu najivunia
Hata nikiyapatia Tanzania yang sito ikimbia
Ooh Eiya
Ooh
Eiyea
Wewe mtanzania
Ringa Tanzania
Cheza Tanzania, kumbuka kuijenga Tanzania
Wewe mtanzania
Ringa Tanzania
Cheza Tanzania, kumbuka kuijenga Tanzania
Bongo Record
Majani
20 percent, asilimia 20
Izman
Ehn
Ehn
Ehn
Ehn
Papa Oriskawao
Suguwa
Ehn
Mtanzania