issai ibungu neno la mwisho şarkı sözleri
Usikimbilie kusema neno la mwisho, ewe baba yangu
Usikimbilie kusema neno la mwisho, ewe mama yangu
Ma neno neno Ya mwisho, Yananiweka peke yangu
Maneno neno Ya mwisho, Yananipa machungu

Sina radhi na wewe, Sitaki tena kuwa nawe
Sina mtoto kama wewe, Usinijue njue

Ata kama ni kifa usi nizike, lile jeneza langu usishike
Ata kwenye kusalia mwili usijumuike
Domo lisisababishe kichwa kije kikatike, kianguke
Usikimbilie kusema neno la mwisho, ewe baba yangu
Usikimbilie kusema neno la mwisho, ewe mama yangu
Ma neno neno Ya mwisho, Yananiweka peke yangu
Maneno neno Ya mwisho, Yananipa machungu
Usikimbilie kusema neno la mwisho, ewe baba yangu
Usikimbilie kusema neno la mwisho, ewe mama yangu
Ma neno neno Ya mwisho, Yananiweka peke yangu
Maneno neno Ya mwisho, Yananipa machungu
Ya mtu sisikii, kisasi silipizi
Mimi kama shina yeye kwangu mizizi
Japo aliniona jizi kisa maski nanasizi
Akaniona ya kuwa hapa sina kizazi
Na huu muziki wakizazi hiki, ulisababisha 20 aonekane feki
Akakosa kampani kama toto la mitaani
Yani maoto tele kichwani lini nitakuwa mwangani
Maombi kwa maanani
Eh wangu maanani mimi nina kosagani mbona daily mitiani
Huna mpizani basi nitoe gizani
Ukinipa silipizi hukumu kesho'ake amani
Aliniona kisheta imetoka kisela,
Kwangu hakuna laki kupata, imetoka kisela
Nachopata nitakupa, imetoka kisera
Yote na muachia buku , imetoka kisela
Usikimbilie kusema neno la mwisho, ewe baba yangu
Usikimbilie kusema neno la mwisho, ewe mama yangu
Ma neno neno Ya mwisho, Yananiweka peke yangu
Maneno neno Ya mwisho, Yananipa machungu
Usikimbilie kusema neno la mwisho, ewe baba yangu
Usikimbilie kusema neno la mwisho, ewe mama yangu
Ma neno neno Ya mwisho, Yananiweka peke yangu
Maneno neno Ya mwisho, Yananipa machungu
Mwanzo wa safari, nilikubali shida
Kunyanyasika mimi kwangu kawaida
Natoka kwa miguu, kimanze hadi Dar
Muda wote ma mawazo kweli nilikosa raha
Ile malengo langu wewe ndiwe ngao yangu
Mimi natoka na nguvu zangu kusaidia wezangu
Wadogo zangu nawaombea kwa mungu
Msikutwe na taabu zilizo nipa machungu
Haliniona kisheta, Imetoka kisela
Imetoka kisela, imetoka kisela, imetoka kisela
Mashariki magaribi nasaka kaburi la bibi
Mwanao ananiona kibi wakati kuiba siibi
Alinivesha chupi na nepi , nikimsaliti kivipi itakuwa vipi
Imetoka kisela
Imetoka kisela
Imetoka kisela
(Yote namuachia arabuka) Imetoka Kisela