issai ibungu safari ya maisha yangu şarkı sözleri
Tangu zamani, baba yangu alinifundisha kuwa
Mtoto ni mtu mzima anaekua
Na mtu mzima ni moto wa laiekua
Ivo wajibu wa mzazi ni kumuandaa mtoto kuwa mtu mzima, hapo muda wake utakapo fika
Nyumbani kwetu hapakuwa na maali pazuri kimaisha
Lakini baba yangu alinipa matumaini kuwa
Kama nitashika maelegezo yake ipasavyo
Hali hiyo itakuja kuwa istoria
Nilikuwa na chunga mifugu ya nyumbani kwetu kwa bidi zote
Nikijua huu ni wajibu wangu
Tazama mifugu hii inavyo pendeza juu ya uso dunia
Inaonesha kila dalili za utulivu
Ulivyo amani na upendo duniana
Haina shamba wala haina mtaji
Lakini inaishi kwa matumaini na amani kwa kumtumainia mungu muhumba
Matumaini yalianza kuingia dosari wakati baba alipata kututoka gafa kwa ajali mbaya ya gari
Kwa mujibu yama funzo ya baba
Mimi ingawa nilikua na umbri mdogo
Nilijikuta nikiwa kiongozo wa familia
Ni'lazimika kufanya bidii izote kuakikisha kuwa mdogo wangu Anita hapati taabu
Ila nilikosa kitu kimoja tu
Maneno ya hekima ya baba
Kuanzia hapo nilikuwa nimepotezwa changamufu kabisa
Kwa kuwa sikuwa nasehemu ambako nitapata matumaini mapia kuhusu maisha
Ila nilijua kuwa natakiwa kuakikisha hii hali ya maisha itatundoka na tunaishi maisha mazuri kama wengine
Niliendeleza juhudi za kuchunga mifugo
Na hata pale mifugo yetu ilipo kumbwa na magonjwa ya kutoweka
Nilikua na chunga mifugo ya watu wengine kwa ujira
Ili mradi tu maisha ya songe mbele
Nilikuwa eneo lamalisho kila nilipokuwa nina muda
Nilifanya hivyo bila kuchoka kabisa

