issai ibungu tamaa mbaya şarkı sözleri

Combination Sound Kombinenga Aluwatan 20 Per Man Water Eeh wasugulie Sifa ya moyo tamaa, moyo sifa yake kutamani Tamaa ya moyo, inaweza kukuweka matatani Unatamani kuzaa, wakati bado uko shuleni Tumia akili kukataza, kabla hujawa matatizoni Ile ndoto ya kitandani, achana nayo Kama unahisi labda haiwezekani, kuendana nayo Unaweza ukaota umejenga angani, angani Kuhifadhi ndoto ya shida gani, wewe (tu-tu-tu) Tuliza moyo wako, kubali mapungufu yako Rahisisha mahitaji yako, ongeza kipato chako Chunga tamaa mbaya Chunga tamaa mbaya Chunga tamaa mbaya Chunga tamaa mbaya Tuliza moyo wako, kubali mapungufu yako Rahisisha mahitaji yako, ongeza kipato chako Chunga tamaa mbaya Chunga tamaa mbaya Chunga tamaa mbaya Chunga tamaa mbaya Sifa ya macho kuona, yani kutazama kinachoonekana Ila sio kila unachokiona, utadhani kupata inawezekana Nyumbani kuna msichana, njiani utaona wengi wasichana Bora kuishia kutazama, kuliko kujifanya unaweza sana Siri ya maisha yako ipo kwa muumba, muumba Alisema mbuzi ni mbuzi hawezi kuwa simba, kuwa simba Hawezi kuongea, eti anaforce kuimba Bora kutulia ama kupiga marimba, utasikika pia Tuliza moyo wako, kubali mapungufu yako Rahisisha mahitaji yako, ongeza kipato chako Chunga tamaa mbaya Chunga tamaa mbaya Chunga tamaa mbaya Chunga tamaa mbaya Tuliza moyo wako, kubali mapungufu yako Rahisisha mahitaji yako, ongeza kipato chako Chunga tamaa mbaya Chunga tamaa mbaya Chunga tamaa mbaya Chunga tamaa mbaya Mwanzo wa safari nakufuata kijana Nakuja na swali unipe jibu la maana Dunia bila wizi hivi itawezekana? Kama haiwezekani siku tukishaonana Nitakiweka mbali kisimu changu cha mchina Na, vijana wote nitawaona hamna maana sana Tunarudishana nyuma mambo ya kuibiana Mwenzenu naona noma polisi kupelekana yeeaah Tuliza moyo wako (eh tuliza moyo tuliza moyo mzee) Kubali mapungufu yako (hee kubali kwamba vitu flani huna) Rahisisha mahitaji yako (eh, sio lazima huwe na vikubwa) Ongeza kipato chako (ehh kuongeza kipato utapata unachotaka) Chunga tamaa mbaya (tamaa mbaya) Chunga tamaa mbaya (tamaa mbaya) Chunga tamaa mbaya (tamaa mbaya) Chunga tamaa mbaya (sana) Tuliza moyo wako (tuliza tuliza moyo) Kubali mapungufu yako (kubali kubali) Rahisisha mahitaji yako (kurahisisha maijati) Ongeza kipato chako (kumbuka kuongeza kipato) Chunga tamaa mbaya (tamaa tamaa mbaya) Chunga tamaa mbaya (tamaa tamaa mbaya) Chunga tamaa mbaya (tamaa tamaa mbaya) Chunga tamaa mbaya (mbaya ooh) Aheee! Eheee! Oooh! Haya weeee Man Water
Sanatçı: ISSAI IBUNGU
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 5:29
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
ISSAI IBUNGU hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı