issai ibungu urithi şarkı sözleri

One love Pasuka Pamoja Records Twende Bonseee Picha linaanza Baba kapata kiwanja Ukaenda kwa waganga Ili ashindwe kujenga Picha kuanza Baba kapata kiwanja Ukaenda kwa waganga Ili ashindwe kujenga Hilo mungu akapinga, akapinda Akamjalia kujenga, tukasau kupanga Kumbe wewe ulipinda, ulipinda Ukawa unamuinda, ukamuinda Alipo kuwa mgonjwa haukuja kumuona Alipokufa wa kwanza ama ulikuja kutafuna Mali za urithi, zisi fanye utuue Mali zetu sisi vipi zikufae wewe? (Ulilia lia) ulilia (Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya (Hukufurahia uliona haya) Ulilia, (ulilia lia) ulilia lia (Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya (Hukufurahia uliona haya) Siku ya msiba Asiye kujua, alikujua Ulimlilia baba kama ni mtu muimu kwenye familia Siku ya msiba Asiye kujua alikujua Ulimlilia baba kama ni mtu muimu kwenye familia Kaka yangu miee Kwanini atangulie? Bora ningekufa mie! Eti ulilia Kaka yangu miee Kwanini atangulie? Bora ningekufa mie! Naona kaniachia watoto wadogo Kama sio yule waenzi zile, unieza zogo Kaniachia watoto wadogo Yani hufanani na yule aliegeukaga mbogooo (Ulilia lia) ulilia lia (Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya (Hukufurahia uliona haya) uliona hayaaaa (ulilia lia) ulilia (Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya (Hukufurahia) furahia (uliona haya) Ilipita mwezi mmoja baada ya msiba Kulikuja namba moja ndugu, kuenzi kifo cha baba Yani mwezi mmoja baada ya msiba Kulikuja namba moja ndugu, kuenzi kifo cha baba Mara ulisimama katikati ya umati ukiwa na karatasi Eti, ukasema ni hati na nyumba haituhusu sisi Ile nyumba ya urithi leo si yetu sisi Kama ni nyumba ya urithi, haaaya ah-ha! (Ulilia lia) ulilia lia (Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya (Hukufurahia uliona haya) uliona haya we (ulilia lia) ulilia lia (Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya (Hukufurahia) furahia (uliona haya) haya! Waunguze Bonseee (Ulilia lia) ulilia lia (Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya (Hukufurahia uliona haya) uliona haya we (ulilia lia) ulilia lia (Kumbe wivu mbaya) kumbe wivu mbaya (Hukufurahia) furahia (uliona haya) haya
Sanatçı: ISSAI IBUNGU
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 5:11
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
ISSAI IBUNGU hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı