ius pro canisius kimbilio by ius pro canisius şarkı sözleri
Wakati Ulimwengu wanitesa
Wakati maisha yaninyanyasa aaah
Huweka tabasamu
Usoni mwangu Baba eeh
Wakati Shetani yaniletea majuto
Wakati Shetani hunitia hofu uuuh
Wokovu wako wanirudisha maisha aaah
Upendo wako huniongoza njia aaah
Najivunia kwamba
Wanijua kwa majina
Wewe ndio Kimbilio langu
Wewe ndio faraja yangu Baba
Nikiwa nawe nastarehe
Nikiwa nawe nnafurahi
Kimbilio langu
Wewe ndio Kimbilio langu
Wewe ndio faraja yangu Baba
Nikiwa nawe nastarehe
Nikiwa nawe nnafurahi
Kimbilio langu
Kimbilio langu uooh oooh uooh
Eeeh ieeeh ieeeeh eh
Wajua Hesabu ya miaka
Nitakayo ishi
Hesabu za baraka zako
Haziishi kamwe
Sitakosa amani kwako
Sitakufa maskini
Najulikana Mbinguni
Kwako maisha tajiri
Wewe peke wanitetea eeeh aeeeh
Wewe Waninyoshea mkono
Nikizama
Najivunia kwamba
Wanijua kwa majina
Wewe ndio Kimbilio langu
Wewe ndio faraja yangu Baba
Nikiwa nawe nastarehe
Nikiwa nawe nnafurahi
Kimbilio langu
Kimbilio langu
Wewe ndio Kimbilio langu
Wewe ndio faraja yangu Baba
Nikiwa nawe nastarehe
Nikiwa nawe nnafurahi
Kimbilio langu
Kimbilio langu
Kimbilio langu
Kimbilio langu uoooh oooh uoooh
Eeeeeeh
Kimbilio langu
Kimbilio langu
Kimbilio langu
Kimbilio langu
Uoooh oooh uoooh
Eeeeh ieeeh ieeeeh eh

