ivan nkungu nikumbuke şarkı sözleri
Verse1
Nimekuwa wa kuzurura mitaani
Kuomba omba barabarani haikuwa ndoto yangu
Nilitamani nisome kama fulani
Niwe daktari ama rubani nimefeli ndoto zangu
Sina matumaini
labda nilizaliwa makosa haya mateso mpaka lini
Kwani nilikosa nini
mpaka inifae hii adhabu
naomba niokoe
Bridge
Najua ni kipindi napita wakati wangu waja nitakapo ipata faraja
Yale ya nyuma yatapita nitawekwa huru nitaitwa mwana wa mungu
Chorus
Yesu nikumbuke
Nikumbuke
Bwana nikumbuke×2
Verse 2
Ona aah nimebeba maumivu.
Mboni zangu zimeyachoka machozi×2
Bridge
Najua ni kipindi napita wakati wangu waja nitakapoipata faraja.
Yale ya nyuma yatapita nitawekwa huru
nitaitwa mwana wa mungu
Chorus
Yesu nikumbuke nikumbuke
Bwana nikumbuke×2

