ivan tuil angelina şarkı sözleri
Mina penda mina penda sana uyu baby
Ananipenda nami pia na mupenda sana
Mapenzi Yake siyo ya kawaida
Ana nikulisha bata usiku mpaka kuna kucha
Mina penda Mina penda Sana uyu Baby
Ananipenda namipiya na mupenda sana
Mapenzi yake siyo ya kawaida
Ananikulisha bata usiku mpaka kuna kucha
Angelina mama ( nakupenda )
Angelina baby ( I love you )
Angelina mama ( I miss You)
Angelina baby ( oo oo )
Angaliya wala ngizi wana tu reve
Ona kwa sasa siume wa raisonner
wana sema ya kwamba unanipenda juu ya monnaie Minapenda sana umewaonyesha vérité
Unanipa kila kitu ambacho mina taka
Nikuwa nawe hakika mi mina deka
Wambeya wakazana tu kutusema
Muchana watasema usiku watalala
Minatafuta Ku toka we wanibana
Natafuta Ku Banduka wa nikokota
Baby oooo
Baby ooo
Baby oooo
Baby oooo
Mina penda mina penda sana uyu baby
Ananipenda nami pia na mupenda sana
Mapenzi yake siyo ya kawaida
Ana nikulisha bata usiku mpaka kuna kucha
Mina penda mina penda sana uyu baby
Ananipenda namipiya na mupenda sana
Mapenzi yake siyo ya kawaida
Ananikulisha Bata usiku mpaka kuna kucha
Angelina mama ( nakupenda )
Angelina baby ( I love you )
Angelina mama ( I miss you )
Angelina baby ( oo oo )
Mu mutazame vizuri sio mtoto wa kijijini
Uyu kwa ukweli ni mtoto wa mujini
Yote ata sema mimi nita ya kubali
Mana ni mtoto ambae mimi mina djali
Nishike nikupe
Nishike eeee
Nikupe nawe unipatie
Usi wa djali wale nausi wa Angalie
Baby ooo
Baby ooo
Baby ooo
Baby oooo
Angelina mama
Angelina baby ( Ivan Tuil )
Angelina mama ( starfish music )
Angelina baby

