ivan tuil kataniuwa (feat. big mayendra wolf) şarkı sözleri
Aka Katoto Kataniuwa Mieee Kataniuwa Mie
Aka Katoto Kataniuwa Mieee Kataniuwa Mie
Katoto kiko wesh
Hanaga Ma stress
Katoto kiko wesh Mamawe
Hanaga ma stress
Ee. Kananipa
Kila Mara
Eeeeeeeh Ananipa
Kila Mara
Wenjo Wangu Mie Unanipatiya Vitu Moto
Minasema Leo Maana haunipi Vya kiloko
Wenjo wangu miee Unanipatiya Vitu Motoo Minasema leo
Maana Haunipi Vya kiloko
Katoto ni ka Dada show
Hakadjali Fasi kananipa Mambo Bila Haya Kanasema to Go
Kumbe kanataka Nikafikishe Mugeto
Wewe utaniuwa
Wewe utaniuwa
Wewe utaniuwa
Wewe utaniuwa
Wewe utaniuwa
Wewe utaniuwa
Nisha Kupata Kupata Mwengine Mimi si zani
Wenjo wangu WA Maana
Mi nawe Tulisha Fanana
Ona Ngizi Tupendaza Tunapendeza
Ni wewe Unae Ni weza Unae ni weza
Nisha Kupata Kupata Mwengine Mimi si zani Wenjo wangu wa Maana
Mi nawe Tulisha Fanana
Ona ngizi Tunapendeza Tunapendeza
Ni wewe Unae ni weza
Unae niweza
Aka Katoto Kataniuwa Mieee Kataniuwa Mie
Aka Katoto Kataniuwa Mieee Kataniuwa Mie
Katoto kiko wesh
Hanaga Ma stress
Katoto kiko wesh Mamawe
Hanaga ma stress
Ee. Kananipa
Kila Mara
Eeeeeeeh Ananipa
Kila Mara
Katoto kiko wesh (katoto kiko wesh)
Kwake mi Sina stress (kwake mi sina stress)
Katoto kiko wesh wesh (wesh)
Kwake mi Sina stress (kwake mi Sina stress)
Kila Mara kiko fresh (Kila Mara Kiko fresh)
Kamwe Hakanuki Moshi (kamwe Hakanuki Moshi)
Kila Mara kiko fresh (Fresh)
Kamwe Hakanuki Moshi
Katoto uku Kwangu ni Moto
Kanaleta Vituko Yana Nipandisha Moto
Hakaniachiye Hewa kama pandisha Djoto
Uku Kwangu ma Kung Fu yana Nitowa djasho
Mapenzi yake Kwangu Kama asmaku
Nikuwe Mbali yake kana Bikokota Huku
Pembeni yake mina Kuwaka Kama Bumbu
Kwadjili ya urembo wake Mina tulia Kama mjukuu
Mwendo wake ukiga utadjikwaa
Akitembeya Nikama Hagusi udongo
Akicheka Ndugu utabakiwa
Kunipa Furaha ile ndoyake lengo
Adamu anayo
Urembo anayo
Huko Nyuma sio kumenibeba Moyo
Kwake na Deka
Moyo ana weka
Ananifanya Na Cheka
Mpaka navuka Mipaka
Mi siwezi Mchoka
Ana Nipandisha Muzuka
Makuta niko Naluka
Nimujengee ka Dukan
Mrembo
Sifa Zote anazo Macho Nikama kioo nikimutazama nadjiona
WA Ngambo
Kumuona ni muchezo
Hata wakuje Vipi ye tu njo niko Naona
Ame ni weka Kwenye Chupa Mana sidjitambui
Kila Kitu ndamupa wengine mi sijuwe
Mina kula mifupa ye Minyofu achukuwe
Nda mununuliya Chopa mwenye wivu Adjiuwe wolf Aouuuuh
Aka Katoto Kataniuwa Mieee Kataniuwa Mie
Aka Katoto Kataniuwa Mieee Kataniuwa Mie
Katoto kiko wesh
Hanaga Ma stress
Katoto kiko wesh Mamawe
Hanaga ma stress
Ee. Kananipa
Kila Mara
Eeeeeeeh Ananipa
Kila Mara

