ivan tuil moto şarkı sözleri

Moto moto Tuko na washa moto Moto Moto Tuko nawasha moto ya kuchoma mapepo Moto moto Tuko na washa moto Moto Moto Tuko na washa moto ya kuchoma mapepo Ivan tuil kwenye micro Njo jina langu mes bro Leo nimefanya motoo Yakuchoma waloko Walitaka niongeleya faux Onaleo wamebaki na ziro Moja na zéro si sawaaa Wa enga waisha sema Ona Leo Minaendeleya tu Kumuomba mungu mkuu Mungu ni wetu soteee Akitenda Atendeyaka watu wote Ee ee ee ee ee Ee ee eeee ee Ee eeE eeee ee Ee ee eeee ee Ee ee eeeeee Ee ee ee ee ee Moto moto Tuko na washa moto Moto Moto Tuko nawasha moto ya kuchoma mapepo Moto moto Tuko na washa moto Moto Moto Tuko na washa moto ya kuchoma mapepo Cheza mziki moto kwetu wee Tumushukuru mungu njo chef ( njo chef ) Cheza mziki moto kwetu wee Tumushukuru mungu njo chef ( njo chef ) Wata choka naku Nitega Mwisho wata piga swata Kufata hawata ninasaaa Watachoka nakuni tega Mwisho wata piga swata Kunifata hawata ni nasaaa Mwakyere mwe Boshi (boshi) Minasema muluga ya kwetu ( kwetu ) Masisi njo kwetu (kwetu) Apana ku pakana sa ma babilone ( babilone ) Mwakyere mwe boshi (boshi ) Minasema muluga ya kwetu ( kwetu ) Masisi njo kwetu ( kwetu) Apana ku pakana sa ma babilone ( babilone ) Chadow king didier dessange niska Fidèle eagle wetu thermo tsimire Director franck kandundao Starfish music Moto moto Tuko na washa moto Moto Moto Tuko nawasha moto ya kuchoma mapepo Moto moto Tuko na washa moto Moto Moto Tuko na washa moto ya kuchoma mapepo
Sanatçı: Ivan Tuil
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 3:02
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Ivan Tuil hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı