ivan tuil my maid şarkı sözleri

Nilisha kupendeya nini mi sijui Umechanganya yangu mwili na akili We ni maid mdogo umeniweza mi Nikupambe uwa nikuite queen Bazazi biko déjà informé Gizi mi nawe tunataka voyagé Banajuwa ilo Shie tusi tardé Bana semaka oh tarder oh resté Sisi tuta fly nauta furai Tuki nunuwa wagain dubai Uko hakunaga wasi kila kitu ni smart Kwako mwenyewe utaona Wewe usha nipa sumu My maid (ooooooh) My maid my maid Sote tuta fiya umu My maid (ooooooh) my maid my maid Mahaba ya nipandisha wazimu My maid (ooooooh) My maid my maid Kweli maid tu vas me tuer My maid (ooooooh) My maid my maid Uuuuh my maid Kwako mi nilisha bana Uuuuh my maid kila kitu kina endana Uuuuh my maid Kwako mi nilisha bana Uuuuuh my maid Kila kitu kina endana Nisha penda nisha pendwa nisha bana ivi ivi Ni nani atakuja kama muchonganishi Nisha penda nisha pendwa nisha bana ivi ivi Ni nani atakuja kama muchonganishi Batuoneye mbali Batusikiliye mbali Mana Nisha pata wangu hodari Batuoneye mbali Batusikiye mbali Mana nisha pata wangu hodari Bazazi biko déjà informé Gizi mi nawe tunataka voyagé Banadjuwa ilo Shie tusi tardé Bana semaka oh tarder oh resté Sisi tuta fly nauta furai Tuki nunuwa wagain dubai Uko hakunaga wasi kila kitu ni smart kwako mwenyewe utaona Wewe usha nipa sumu My maid (ooooooh) My maid my maid Sote tuta fiya umu My maid (ooooooh) My maid my maid Mahaba ya nipandisha wazimu My maid (ooooooh) My maid my maid Kweli maid tu vas me tuer My maid (ooooooh) My maid my maid My maid (ooooooh) My maid my maid My maid (ooooooh) My maid my maid
Sanatçı: Ivan Tuil
Türü: Belirtilmemiş
Ajans/Yapımcı: Belirtilmemiş
Şarkı Süresi: 2:58
Toplam: kayıtlı şarkı sözü
Ivan Tuil hakkında bilgi girilmemiş.

Fotoğrafı